Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Mke au mume anapopata safari. Kabla hajatoka muage kwa maombi ya nguvu sana na kukemea kila uharibifu unaotegemewa au utakaotokea bila kutegemewa, kataa katika jina na Yesu Kristo.. huku mmeshikana mikono ukiombs kwa kumaanisha...

Nakuambia hii sala inafanya kazi kabisa..

Ilishwahi kunitokea. Nikapanga safari ya kwenda dar kufata cheti changu, huku kuna mtu wangu nmepanga nae kwamba tutakutana..

Siku ya safari ilipigwa maombi ya hatari.. kufika dar ile ratiba ikavurugika balaa mwenyeji wangu naye kaniganda balaa hadi siku ikaisha kesho yake tukaenda kuchukua cheti bado nagandwa kweli kweli... mpka naondoka dar nikarudisha upwiru wangu nyumbani.

Hivyo hivyo nilipata safari ya mbeya nakwambia ilipigwa sala hatari. Sikufanikiwa kabisa... japo natafuta lakini zinagonga mwamba kabisa.

So please muombee mwenza wako kabka ya kuondoka na endelea kumwombea ulinzi...
 
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
We zombieee! Haujui?
 
Mke au mume anapopata safari. Kabla hajatoka muage kwa maombi ya nguvu sana na kukemea kila uharibifu unaotegemewa au utakaotokea bila kutegemewa, kataa katika jina na Yesu Kristo.. huku mmeshikana mikono ukiombs kwa kumaanisha...

Nakuambia hii sala inafanya kazi kabisa..

Ilishwahi kunitokea. Nikapanga safari ya kwenda dar kufata cheti changu, huku kuna mtu wangu nmepanga nae kwamba tutakutana..

Siku ya safari ilipigwa maombi ya hatari.. kufika dar ile ratiba ikavurugika balaa mwenyeji wangu naye kaniganda balaa hadi siku ikaisha kesho yake tukaenda kuchukua cheti bado nagandwa kweli kweli... mpka naondoka dar nikarudisha upwiru wangu nyumbani.

Hivyo hivyo nilipata safari ya mbeya nakwambia ilipigwa sala hatari. Sikufanikiwa kabisa... japo natafuta lakini zinagonga mwamba kabisa.

So please muombee mwenza wako kabka ya kuondoka na endelea kumwombea ulinzi...
sahihi chief
 
2: Simulizi sehemu ya pili kuhusu ndoa yangu.

Basi nikajianda haraka kuelekea dodoma ,ili nijue wife ni mzima ama kakumbwa na umauti. wote mnafahamu dunia ilivojaa na mabalaa na mikasa tofauti tofauti. kifupi sikupata usingizi kabisa nikimuwaza wife huko aliko sababu nampenda sana mama wanangu.

Watoto wetu muda mwingi walikua wakilia wakimhitaji mama yao, coz always tumewazoesha incase tukombali nao kati yetu lazima tuongee nao via whatsapp video call or normal call ndipo watapata usingizi.

basi nikaungana na wadogo zangu wawili ,mmoja yupo domu na mshikaji wangu mmoja(mtu wa system) tukaanza taratibu za kumsaka wife kimya kimya jijini dodoma.

Tulianzia mji wa mtumba later on makole na sehemu zote maarufu za mji .nikaenda mpaka kwenye taasis yao kumuulizia sikupata ushiriakiano wa kutosha, ila niliweza kuthibitisha kitu . baadae nikapokea simu ngeni ambaye hata hakujitambulisha, iliyonipa direction wapi nitaweza kumpata mkewangu .

Daah, kwa hizi pigo za wife sijui kama nitatoboa. hapa nilipo mishipa ya kichwa imenitoka kwa maumivu nayopitia
 
Kwaiyo ulipewa direction wap yupo
 
Kateme kabisa si kanaushamba
 
Mwanamke wa kibongo akitingwa huwa tunaelewa ila sio kutingwa kwa style hio na vichambo juu🤣🤣🤣!

Mwanamke wa kibongo akishaanza kukwambia una wivu sana na mapenzi hadi unambana mno jua tu tayari mgombea mwenza ameshakupora jimbo 🤣
😀😀😀
 
2: Simulizi sehemu ya pili kuhusu ndoa yangu.

Basi nikajianda haraka kuelekea dodoma ,ili nijue wife ni mzima ama kakumbwa na umauti. wote mnafahamu dunia ilivojaa na mabalaa na mikasa tofauti tofauti. kifupi sikupata usingizi kabisa nikimuwaza wife huko aliko sababu nampenda sana mama wanangu.

Watoto wetu muda mwingi walikua wakilia wakimhitaji mama yao, coz always tumewazoesha incase tukombali nao kati yetu lazima tuongee nao via whatsapp video call or normal call ndipo watapata usingizi.

basi nikaungana na wadogo zangu wawili ,mmoja yupo domu na mshikaji wangu mmoja(mtu wa system) tukaanza taratibu za kumsaka wife kimya kimya jijini dodoma.

Tulianzia mji wa mtumba later on makole na sehemu zote maarufu za mji .nikaenda mpaka kwenye taasis yao kumuulizia sikupata ushiriakiano wa kutosha, ila niliweza kuthibitisha kitu . baadae nikapokea simu ngeni ambaye hata hakujitambulisha, iliyonipa direction wapi nitaweza kumpata mkewangu .

Daah, kwa hizi pigo za wife sijui kama nitatoboa. hapa nilipo mishipa ya kichwa imenitoka kwa maumivu nayopitia
Aisee ..kama hii story yako ina ukweli basi hapa hadi sasa hamna ndoa kati yenu ni mnalea watoto tuuu!

Kama umempata muulize maswali kwanini hapatikani asipokupa majibu ya kuridhisha hakikisha umemchapa makofi hadharani yani uhakikishe umemchapa makofi hadharani….

Mwanamke kama huyu lazima akuue kwa presha au ukimwi …kwanza ni aibu kwako maana hata jambo hili hukupaswa kumshirikisha mtu yeyote ungelifanya kimya ona sasa hadi nduguzo wamejua mke wako ni malaya hadi anafikia kukuzimia simu…

Hii aibu sijui utaifuta vipi lakini kwanza hakikisha umemchapa makofi mbele hata za nduguzo halafu mwambie pale pale kuwa ndoa yenu imeishia hapo..kinyume na hapo aje na maelezo ya kuaminika au yanayo eleweka halafu ondoka kabisa urudi nyumbani…

Mwanamke msaliti hatakiwi kusamehewa kamwe kamwe….bado nasisitiza kama hii story ni kweli huyu mkeo unapaswa kumfunza adabu kabisa!
Ukweli ni kwamba hii habari inatia hasira sana…
 
Back
Top Bottom