Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Kuwafundisha somo watu wa hivi ni rahisi sana... Ila unatakiwa kuwa na roho ngumu... Nenda sehemu ya mbali kutafuta maisha kata mawasiliano nae... Kama ni simu mwache apige yeye.... Usihangaike kumpigia.... Pambana kubali kuanza upya katika utafutaji.... Kumbuka kusave....
 
sahihi chief, tatizo upendo wangu kwake
 
Kaoa au kaolewa, maana kuna wanaume wanaoolewa siku hizi na manyanyaso wanayopata Mungu anajua. Kama kaolewa na hana maisha bila ya huyo mwanamke, atafute maisha kwanza, apate pesa vinginevyo kijikomboa itakuwa ngumu sana.
 
tumeoana/tumefunga ndoa
 
Back
Top Bottom