Kilakala mwanangu anatamani asome hapothanks mpendwa, kwasasa naishi bukoba,, niliwahi ishi moro, dar, mwanza, kigoma, arusha, na mbeya. Nilizaliwa moro mazimbu huko elimu primary sua, olevo kilakala, advance moro sec, chuo UD. Experience naifeel sana sekta ya afya sema physics na kemia viligoma kabisa aisee viligoma mapemaaa form two huko!
Hakika mkuu wangu 🤣
Hapa umenena, nakubaliana sana na ukweli huu[emoji120][emoji120]Niseme tu usiamini kila tunachoandika humu au mitandaoni mingine mpaka uwe na ukaribu na kumjua huyo memba ile ya face to face yani nje ya jf katika uhalisia wake. Nyuma ya keyboard Kuna uongo na ufeki mwingi sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]Haya mambo ya baby baby hakuna hapa!!
Napenda kuona watu wanaachana kama hivi mlivoachana safi sana pumbavu!!!
We chonganisha tu [emoji23][emoji23]
elle n'est pas à toi, pas à moi non plus, faut-il se quereller?Veuillez reculer de la femme que j'aime le plus
Miaka ishaenda tushazeeka ngozi zishasinyaa😂😂😂😂😂😂😂😂 hutaki aseme kweli? Eti picha tu? 😜😜😜
Kaka naona wataka anza kumchunguza wifi yangu home km ana jf eehh!Mumeo anaijua JF? Kama ndio, hakuwahi kuifahamu ID yako hata siku moja?
Miaka ishaenda tushazeeka ngozi zishasinyaa
[emoji3][emoji16][emoji16]wanaume kazi mnayoo!mtajua hamjui!![emoji1787][emoji1787]
Jamaa Yuko UNAMID mjini Darfur ha ha ha
Maliziamalizia kwani mandate inaisha DECEMBER 31....
Watu wanaumia huko wakiwawekea MADOLALI mje kutanua nyie mnawaachia tu akina SMART looh [emoji1787][emoji1787]
Sawa banaaa.....[emoji3][emoji16][emoji16]wanaume kazi mnayoo!mtajua hamjui!!
YaaniHeri ya kuzaliwa rafiki. Allah akupe maisha marefu yenye kila la kheri.
Siku zote Emmy penda sana veve. 😘
Duuh 🤣🤣🤣Ndo maana ake
YaaniHeri ya kuzaliwa rafiki. Allah akupe maisha marefu yenye kila la kheri.
Siku zote Emmy penda sana veve. 😘
Unapenda uzee eh? Shauri yako ukaribishe tu haukawii kupiga hodi. Yule dhalimu alikuwa busy na kifo. Kifo kifo kifo mimi siogopi kifo kifo kifo sijui Mungu akinichukua nikienda mbinguni hadi kifo kikasikia hakikufanya ajizi. Siku hizi wanamuita MWENDAZAKE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wa MTU binamu bwanaa...!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo now jimbo lipo wazi [emoji23][emoji23]
Hivi mahondaw una watoto wangapi?!Hello guys!
Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya mungu awabariki wapendwa. Pia nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana. Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na wachochea kuni wote tupo pamoja mazee nyie pia kheri iwe nanyi.
Karibuni mnipikie mniimbie mniswalike mnichekeshe na kunizawadia pia.
Warmly welcome
Bora usingewaambia kwamba Emmy-ta ndio veve hahahahaahhNdugu yangu s h i k a m o o. 🤣🤣🤣