Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kilakala mwanangu anatamani asome hapothanks mpendwa, kwasasa naishi bukoba,, niliwahi ishi moro, dar, mwanza, kigoma, arusha, na mbeya. Nilizaliwa moro mazimbu huko elimu primary sua, olevo kilakala, advance moro sec, chuo UD. Experience naifeel sana sekta ya afya sema physics na kemia viligoma kabisa aisee viligoma mapemaaa form two huko!