Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
thanks mpendwa, kwasasa naishi bukoba,, niliwahi ishi moro, dar, mwanza, kigoma, arusha, na mbeya. Nilizaliwa moro mazimbu huko elimu primary sua, olevo kilakala, advance moro sec, chuo UD. Experience naifeel sana sekta ya afya sema physics na kemia viligoma kabisa aisee viligoma mapemaaa form two huko!
Kilakala mwanangu anatamani asome hapo
 
Niseme tu usiamini kila tunachoandika humu au mitandaoni mingine mpaka uwe na ukaribu na kumjua huyo memba ile ya face to face yani nje ya jf katika uhalisia wake. Nyuma ya keyboard Kuna uongo na ufeki mwingi sana.
Hapa umenena, nakubaliana sana na ukweli huu[emoji120][emoji120]
 
Unapenda uzee eh? Shauri yako ukaribishe tu haukawii kupiga hodi. Yule dhalimu alikuwa busy na kifo. Kifo kifo kifo mimi siogopi kifo kifo kifo sijui Mungu akinichukua nikienda mbinguni hadi kifo kikasikia hakikufanya ajizi. Siku hizi wanamuita MWENDAZAKE 😂😂😂😂😂
Miaka ishaenda tushazeeka ngozi zishasinyaa
 
Unapenda uzee eh? Shauri yako ukaribishe tu haukawii kupiga hodi. Yule dhalimu alikuwa busy na kifo. Kifo kifo kifo mimi siogopi kifo kifo kifo sijui Mungu akinichukua nikienda mbinguni hadi kifo kikasikia hakikufanya ajizi. Siku hizi wanamuita MWENDAZAKE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha
 
Hello guys!

Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya mungu awabariki wapendwa. Pia nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana. Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na wachochea kuni wote tupo pamoja mazee nyie pia kheri iwe nanyi.

Karibuni mnipikie mniimbie mniswalike mnichekeshe na kunizawadia pia.

Warmly welcome
Hivi mahondaw una watoto wangapi?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom