Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Ni bahati kubwa maana JF ilivyo na umaarufu mkubwa hadi kwenye news inatajwa halafu mtu asiijue labda si mfuatiliaji wa habari.
My man hajui hata kitu kinaitwa JF
Whatsap nilimdownlodiaga mimi

Akajaribu insta akashindwa akafuta
Facebook nayo akawa anauliza jinsi ya kutumia yakamshinda akafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni bahati kubwa maana JF ilivyo na umaarufu mkubwa hadi kwenye news inatajwa halafu mtu asiijue labda si mfuatiliaji wa habari.

JF haina umaarufu kihivyo huku Kitaa watu nnaopiga nao mishe ukianza kuongelea JF inabidi uwaelekeze vizuri wakuelewe

Pia kuna watu ni workaholics akikaa busy na kazi zake anakuwa hana time na social networks
 
Kumbe umeumia sana

I do believe wife wako umemuacha mahali so karoho kanakudunda[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Jamani eeh hii kitu sio ya kwako pekeako lazima ukubaliane na ukweli, kama nyie jinsi mnavyochovya kila mahali

Sisi tunawaangaliaga tu[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
....karoho kanadunda kweli..🤣🤣

Yaani haya maneno ya mahondaw yametugusa sana....aagh ndo hivyo....
 
Nimesoma mwanzo mpk nilipoishia haya ndo maoni yangu wifi yangu;
Kwanza naomba mnisamehe na unisamehe kama ntakukwaza au kuwakwaza watu wengine na kama ntaonekana mnaafiki Niko tayari kupopolewa na nimekubali kubeba lawama maana imani yangu inaniambia hivi HARAMU NI HARAMU HATA KM WATU WOTE WATAIKUBALI
Pili;Umekosea mnooo tena sana sana,umemkosea mumeo,umemdhulumu haki zake na umemvunjia heshima yake kubwa sana tena haswaa...Wallahi nakuapia ulichokifanya si sahihi tubu sana hyo dhambi uliyofanya ni uchafu mnoo ktk maadili yetu haswaa kwa aliyeoa au kuolewa...ningekaa kimya kama labda ungenambia kua yuko may be jela au kakutelekeza hvyo ndo maana wamcheat mmeo japo ni dhambi pia kuzini lakini nigekaa kimya maana sisi sote ni wa mapungufu tumeumbwa ktkt udhaifu mkubwa sana wanaadamu..Mmeo wa ndoa yuko kazini anapambana anajitoa sadaka kwa ajili yake ina maana angekufa weye ungeolewa na smart au mnngejiachia full kipupe...Viatu vya mmeo hata kama hajui nimevaa havijantosha,nimeimajini ndo kaka yangu au mwanangu kafanyiwa hvyo nimejikuta nimejiskia vibaya sana sikufichi best and am sorry kwa hilo niwie radhi kama ntakukwaza

Tatu;Ulimkosea sanaaa tena sanaa smart maana umemdanganya kitu kikubwa mnoo alikua anachezea sharubu za Simba pasi na kujua na My dear hukumpenda maana ungempenda usingemuweka rehani kuponea kwenye tundu la sindano napata picha mmeo kajua sasa kua unacheat then angewafumania sijui hata ingekuaje..Usirudie tena huu utopolo mahondaw sio kwa smart wala kwa mtu mwingine yoyote yule katk maisha utakuja kupata majanga..Umecheza na feelings za hawa wakaka wawili vzr sana...Smart ukute alikua ana malengo na wewe maskini mwisho wa picha umechomoa betri..Hudhani kama utamfanya asiamini ktk mapenzi tena...na kama bado anaruhusu mpashe kiporo kwa sasa hakupendi tena ila anakuchezea tu na kua makini smart sio mjinga kiivyo atarudisha mkuki ulipotoka ukajikuta unapata aibu ya maisha yote.Acha kabisa kubebishana na smart kwa sasa focus kwenye ndoa yako na shukuru Mungu lilipita salama hili..

NNE;Mahondaw wewe ni mbinafsi sana maana hawa wakaka umewamiliki woteee wenzio tusoolewa tubaki na kina nani sasa
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mwee!ukaona my bro amegombana na bebi wake ukaenda kuchomoa betri kaaahh;Dada kwio sana aseehhh(Utani kidogo bwana weee) wee . Punguza tamaa rafiki yangu itakugharimu..
Heshimu ndoa yako sisi ni mabinti Sayuni wa Kitanzani tuna maadili na miiko yetu

Tano umemkosea sanaa Mungu maana umeonesha kibri cha waaazi kabisa kuanima hadharani uchafu ulomfanyia mmeo..hicho ni Kibri na Mungu huchukia Sana'a kibri na hapendi kibri haswaa...Tunaambiwa hivi kila mtu anatenda dhambi lakini waweza Fanya dhambi kimyakimya Ukatubu Mungu akasamehe lakini ukidhihirisha INA maana kama umehalalisha na kupitia hiyo ujue waweza beba msalaba maana akili hazifanani wapo watakaoiga pia huu ujinga au kuuusifia na wakakuona shujaa hapo tayari utakua una wafuasi au watu wataona kumbe inawezekana ngona nifanye na miye...!!!hvyo naimani umezaliwa kwenye misingi ya dini bassi naomba utubid dhambi zako na usithubutu tena kujifakharisha uchafu huu...Mungu ni mwingi wa msamaha na mwingi wa huruma.Rudi kwenye mstari kipenzi

Tano;Badilika,Badilika,Badilika,nakuambia kama mwanamke mwenzangu wa kitanzania,mama wa watoto wa kitanzania,mke wa mtu...Heshima ya mume mke best!!!Nimekuambia kwa sababu nakupenda sanaa tena sanaa...nsamehe sana kama ntakua nimekukwaza au kuingilia maisha yako binafsi naomba radhi sanaa na wengins wote niliokwaza mnisamehe...!!!

Mwisho nyio wanawake mlioolewa kama hamuwapendi hao kaka zetu muwaache kuliko kufanya mambo meusi meusi mnatudhalilisha wanawake wote tunaonekana wa hovyooo....!!!
Unaambiwa leo Guardiola hata GG hajatoa daah
 
But Best the evidence is all over the place you don’t have to search for it. ME wako anaishi dunia ipi haijui JF?
chief wapo watu hawajui kama jf ina pm mpaka chit chat wanajua ni chombo cha habari kama nipashe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom