Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Ni bahati kubwa maana JF ilivyo na umaarufu mkubwa hadi kwenye news inatajwa halafu mtu asiijue labda si mfuatiliaji wa habari.
My man hajui hata kitu kinaitwa JF
Whatsap nilimdownlodiaga mimi

Akajaribu insta akashindwa akafuta
Facebook nayo akawa anauliza jinsi ya kutumia yakamshinda akafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni bahati kubwa maana JF ilivyo na umaarufu mkubwa hadi kwenye news inatajwa halafu mtu asiijue labda si mfuatiliaji wa habari.

JF haina umaarufu kihivyo huku Kitaa watu nnaopiga nao mishe ukianza kuongelea JF inabidi uwaelekeze vizuri wakuelewe

Pia kuna watu ni workaholics akikaa busy na kazi zake anakuwa hana time na social networks
 
....karoho kanadunda kweli..🤣🤣

Yaani haya maneno ya mahondaw yametugusa sana....aagh ndo hivyo....
 
Unaambiwa leo Guardiola hata GG hajatoa daah
 
But Best the evidence is all over the place you don’t have to search for it. ME wako anaishi dunia ipi haijui JF?
chief wapo watu hawajui kama jf ina pm mpaka chit chat wanajua ni chombo cha habari kama nipashe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…