Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

Status
Not open for further replies.
Alikukula mara ngapi...jus try to remember [emoji39][emoji39]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mnh! We mtoto... yaani leo ndo nimejua jinsi unavyopenda umbea!! Sa' sijui ni umbea wa kidijitali peke yake, au hadi ule wa analogy!!!

Anyway, hayo mengine mie hayanihusu, all I wanna say is "Happy Birthday mahondaw..."
 
Hahahaa hapana sababu nyingine kabisa ndio ilisababisha! By the time nipo dar kuna kipindi I told him the truth but he didnt believe because muda mwingi aliokuwa akinihitaji alinipata na baba watoto yupo sudani! Niliendelea kumweleza ukweli alikuja kuamini baada ya kujifungua mtoto wapili 2019 kwakua nilipasuliwa, nilizaa kwa oparesheni nikamuonesha mshono kabisa! Tuligombana kwa mengine kabisa
Happy belated birthday,afya njema kwako bibie

Maswali;

1.Ni sababu gani ilikufanya uchepuke na mzee wa muongozo ilhali umeolewa?

2.Je inawezekana mumeo alishawahi kujua au kuhisi unachepuka ndio maana akakuhamishia Bukoba na sasa anarudi kila mwezi kufanya doria ya ndoa?

3.Je unajutia kitendo chako cha kuchepuka ?

4.Je ni kweli upo' happily married' kama ulivyosema hapo juu au hauna namna kwa kuwa ulishaolewa na umezaa nae watoto?

Ahsante,

N:B Nisaidie kujibu kwa namba tuna la kujifunza hapa
 
Nimesoma mwanzo mpk nilipoishia haya ndo maoni yangu wifi yangu;
Kwanza naomba mnisamehe na unisamehe kama ntakukwaza au kuwakwaza watu wengine na kama ntaonekana mnaafiki Niko tayari kupopolewa na nimekubali kubeba lawama maana imani yangu inaniambia hivi HARAMU NI HARAMU HATA KM WATU WOTE WATAIKUBALI
Pili;Umekosea mnooo tena sana sana,umemkosea mumeo,umemdhulumu haki zake na umemvunjia heshima yake kubwa sana tena haswaa...Wallahi nakuapia ulichokifanya si sahihi tubu sana hyo dhambi uliyofanya ni uchafu mnoo ktk maadili yetu haswaa kwa aliyeoa au kuolewa...ningekaa kimya kama labda ungenambia kua yuko may be jela au kakutelekeza hvyo ndo maana wamcheat mmeo japo ni dhambi pia kuzini lakini nigekaa kimya maana sisi sote ni wa mapungufu tumeumbwa ktkt udhaifu mkubwa sana wanaadamu..Mmeo wa ndoa yuko kazini anapambana anajitoa sadaka kwa ajili yake ina maana angekufa weye ungeolewa na smart au mnngejiachia full kipupe...Viatu vya mmeo hata kama hajui nimevaa havijantosha,nimeimajini ndo kaka yangu au mwanangu kafanyiwa hvyo nimejikuta nimejiskia vibaya sana sikufichi best and am sorry kwa hilo niwie radhi kama ntakukwaza

Tatu;Ulimkosea sanaaa tena sanaa smart maana umemdanganya kitu kikubwa mnoo alikua anachezea sharubu za Simba pasi na kujua na My dear hukumpenda maana ungempenda usingemuweka rehani kuponea kwenye tundu la sindano napata picha mmeo kajua sasa kua unacheat then angewafumania sijui hata ingekuaje..Usirudie tena huu utopolo mahondaw sio kwa smart wala kwa mtu mwingine yoyote yule katk maisha utakuja kupata majanga..Umecheza na feelings za hawa wakaka wawili vzr sana...Smart ukute alikua ana malengo na wewe maskini mwisho wa picha umechomoa betri..Hudhani kama utamfanya asiamini ktk mapenzi tena...na kama bado anaruhusu mpashe kiporo kwa sasa hakupendi tena ila anakuchezea tu na kua makini smart sio mjinga kiivyo atarudisha mkuki ulipotoka ukajikuta unapata aibu ya maisha yote.Acha kabisa kubebishana na smart kwa sasa focus kwenye ndoa yako na shukuru Mungu lilipita salama hili..

NNE;Mahondaw wewe ni mbinafsi sana maana hawa wakaka umewamiliki woteee wenzio tusoolewa tubaki na kina nani sasa
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mwee!ukaona my bro amegombana na bebi wake ukaenda kuchomoa betri kaaahh;Dada kwio sana aseehhh(Utani kidogo bwana weee) wee . Punguza tamaa rafiki yangu itakugharimu..
Heshimu ndoa yako sisi ni mabinti Sayuni wa Kitanzani tuna maadili na miiko yetu

Tano umemkosea sanaa Mungu maana umeonesha kibri cha waaazi kabisa kuanima hadharani uchafu ulomfanyia mmeo..hicho ni Kibri na Mungu huchukia Sana'a kibri na hapendi kibri haswaa...Tunaambiwa hivi kila mtu anatenda dhambi lakini waweza Fanya dhambi kimyakimya Ukatubu Mungu akasamehe lakini ukidhihirisha INA maana kama umehalalisha na kupitia hiyo ujue waweza beba msalaba maana akili hazifanani wapo watakaoiga pia huu ujinga au kuuusifia na wakakuona shujaa hapo tayari utakua una wafuasi au watu wataona kumbe inawezekana ngona nifanye na miye...!!!hvyo naimani umezaliwa kwenye misingi ya dini bassi naomba utubid dhambi zako na usithubutu tena kujifakharisha uchafu huu...Mungu ni mwingi wa msamaha na mwingi wa huruma.Rudi kwenye mstari kipenzi

Tano;Badilika,Badilika,Badilika,nakuambia kama mwanamke mwenzangu wa kitanzania,mama wa watoto wa kitanzania,mke wa mtu...Heshima ya mume mke best!!!Nimekuambia kwa sababu nakupenda sanaa tena sanaa...nsamehe sana kama ntakua nimekukwaza au kuingilia maisha yako binafsi naomba radhi sanaa na wengins wote niliokwaza mnisamehe...!!!

Mwisho nyio wanawake mlioolewa kama hamuwapendi hao kaka zetu muwaache kuliko kufanya mambo meusi meusi mnatudhalilisha wanawake wote tunaonekana wa hovyooo....!!!
Umeongea point sana Dada
Inasikitisha Mme anapambana sudan mke wake yupo bize kuchepuka mpaka kuuonesha mshono ili aamini waendelee nae
 
Happy belated birthday,afya njema kwako bibie

Maswali;

1.Ni sababu gani ilikufanya uchepuke na mzee wa muongozo ilhali umeolewa?

2.Je inawezekana mumeo alishawahi kujua au kuhisi unachepuka ndio maana akakuhamishia Bukoba na sasa anarudi kila mwezi kufanya doria ya ndoa?

3.Je unajutia kitendo chako cha kuchepuka ?

4.Je ni kweli upo' happily married' kama ulivyosema hapo juu au hauna namna kwa kuwa ulishaolewa na umezaa nae watoto?

Ahsante,

N:B Nisaidie kujibu kwa namba tuna la kujifunza hapa
Thanks twin! Twin usiwaze wala Mambo yahumu bana! Anyway kunamtu kanichambaje kwa heshima yake kwasasa acha niwe msomaji tu
 
Mnh! We mtoto... yaani leo ndo nimejua jinsi unavyopenda umbea!! Sa' sijui ni umbea wa kidijitali peke yake, au hadi ule wa analogy!!!

Anyway, hayo mengine mie hayanihusu, all I wanna say is "Happy Birthday mahondaw..."
Nawewe my[emoji22]

Si tumeambiwa tuulize maquestions jomoni

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimewavuruga mamia ya wanajf ila............ Imefuta utopolo wote niloufanya hivo basi wataonijudge negatively binafsi sijaliiii as long as...... Aksante sana we mtuuuuuu! (sio wewe wity tehteh)
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Daaah mahondaw unanionea asee[emoji22][emoji22]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimewavuruga mamia ya wanajf ila............ Imefuta utopolo wote niloufanya hivo basi wataonijudge negatively binafsi sijaliiii as long as...... Aksante sana we mtuuuuuu! (sio wewe wity tehteh)
Akauzi kawe nkairuka nke mbio za mwenge[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Lazima smart agaruke aliwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom