Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Pele ameshawahi kusema zidane ndie mchezaji bora kipindi chake


Pele hakuwahi kucheza Ulaya. Hivi bado kuna wtu wanamsikiliza anachoongea?

Kila mwaka wa World cup timu anayoitabiria kubeba ndoo inakuwa ya kwanza kuaga. Huyu alishaishiwa. ni FIFA tu ndio wanambeba.
 

Asante mkulungwa mwenzangu, umetumia maneno machache lakini yalionona.

Thanx in advance
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi


NZI kasema Mtakatifu Dinho, hakuna kama yeye katika ulimwengu wa soka la kiufundi hata games zote za FIFA
kwenye PS na Xbox tricks za uwanjani wamechukua za Mtakatifu kupiga chenga vijiji Mtakatifu kafanya sana...yaani kilam ufundi wa kwenye soka jamaa ashaweka benchmark ndiyo maana kila mara utasikia 'New Messi', 'New
Cristiano', 'New Pele', 'New Maradona', 'New Zidane' n.k. Lakini ni huwezi kusikia 'New Ronaldinho'. Kwani alichokifanya
jamaa uwanjani, ni vigumu mno kufanywa na mtu mwingine assists alizokuwa akitoa Mtakatifu Gaucho basi Nessi na
wenzake watasubiri sana ufundi wa mazoezini, Mtakatifu alikuwa akiufanyia uwanjani kwenye mechi.
 
Anachofanya messi hata Robben anafanya, Hazard ana fanya, ngasa anafanya pia!!

Ila hakuna yeyote anayeweza kufanya kitu Ronaldinho alichofanya!!
 
Chomba kweli umerudi kwa kasi ya kimbunga. Ni ukweli naku-ardmire sana kwa style ya uandishi wako. Kupotea kwako kulisababisha Yale majukwaa yetu kudorora.

R. I P gaucho...ooh sorry
Happy birthday st Gaucho
 
Hahahahahah shughuli ya MESSI itanifuta povu kama lipo,,
 
Nilimshuhudia Gaucho akifanya miujiza uwanjani..
 
Pele hakuwahi kucheza ulaya...
hivi bado kuna wtu wanamsikiliza anachoongea?

kila mwaka wa World cup timu anayoitabiria kubeba ndoo inakuwa ya kwanza kuaga.

huyu alishaishiwa. ni FIFA tu ndio wanambeba.

Pele ni ushuzi, kinapenda kuongea ongea sana kile kigagula, sijui anaexpire lini?
 
Gang Chomba kwa mahaba niue sikuwezi!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Nzi umemaliza kila kitu

Messi kwa dribbling skills anaweza ila haya mautaalamu ya Dinho na kabumbu mguuni ni hatari

Jamaa anaujua kupita maelezo....
 
Last edited by a moderator:
Sijawai penda mpira kama enzi za dinho. Niikiwa na hasira naangalia video za nabii Dinho nasuuzika
 
Reactions: Nzi
Hatokuja tokea mchezaji kama Gaucho
 
cjawai penda mpira kama enzi za dinho...nikiwa na hasira naangalia video za nabii dinho na suuzika

Hahaaa! Mkuu hii nayo kali

He was so fun to watch. Jamaa utafkiri fuko lake la uzazi ilikuwa gozi la ng'ombe size 5 au 6, anaujua ndani njeeee
 
Hapo mkuu umenena Messi kweli ni mchezaji bora lakini ukija kwenye kuuchezea mpira na mbwebwe aaah GAUCHO namkubali mpaka kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…