Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #101
Mjinga mmoojaaa mpuuzi mmoojaaaaa asiye na akili mmojaaaaa Sijui kala maharage ya wapi yuuule!! amekuja kwenye thread hiiii anaandika upuuziii kumhusu Nabii wa mwisho wa Soka! Nilichukia saana! Amekuwa kama mtoto anayevalishwa pampaz hajui cha kufanya... anabwaya bwaya tuu!! Akome kuanzia leo!!
Wuuuu!! Haya saasa,roho imesuuzika saasa, nimempa vipande vyake saasa! Sijamkopesha,nimempa cash zake saasa!!! Tena sio kwa Installment,nimempa cash! Nimempa vipande vyake saasa!
Weewe unayediriki kuandika upuuzi kwa kumponda Gaucho tena Usiye na akilii unamfananisha Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka na kijitu kifupiii ambacho hakijabeba World cup, kinakimbia kimbia tu ni nani aliyekuroga?? Ukooomeeeeeeeeee!!!!!
Jamaa anajua kuutendea haki mpira pia kwa watazamaji bila shaka nafsi husuuzika big up dinho thf saint
.....Laiti ningekuwa kocha na nigepewa nafasi ya kumchagua mmoja kati ya Messi na Ronaldinho. Bila hata ya kuumiza kichwa, ningetaja jina la Messi.
Ni kwasababu unataka mafanikio ya timu.. Magoli na burudani kedekede.. Messi akishapiga zake 3 dk ya 85 unamuingiza NABII CHOKO... akauchezee mpira tu.
ndo maana alivyokuwa Barca hakuipa Barca mataji mengi kama king Lionel Messi.
Hili halipingiki mkuu.. Messi ni kiumbe wa ajabu huyu.
Ukiachana na WC mimi sioni kingine Gaucho anachomzid Messi.
Gaucho ana mbwembwe sana, ila Messi the way anavyodribble ni burudani tosha kabisa sababu hata Gaucho hadrible kama Messi kwa mimi nionavyo.
Harafu Messi anazile chenga zake za kukutisha kama anaenda kushoto au kulia, ukienda upande huu yeye anaenda upande huu.
Mkuu ALEYN wewe huwa unatazama vema sana mambo ambayo huyu bwana mdogo huwa anafanya uwanjani.. Hongera sana..
Gaucho ana mbwembwe, Messi hana mbwembwe na hachezi na jukwaa.
Mpira siku hizi umebadilika, watu hawataki ule mpira wa kucheza na jukwaa kama Gaucho na Cristiano Ronaldo, na bora Christiano hana Skillz kama Gaucho maana mashabiki wa Man U tungewakoma.
All in all Gaucho kamzidi Messi kutokana na kubeba World Cup na kabeba World Cup huku team ya Brazil ikiwa na Legendary kibao.
Kwanza alikua ni mtoto mdogo aliyebebwa na mastaa wakomavu sana.. Na ndio maana baada ya hapo hawakua na jipya, huyu jamaa hajadumu ktk ubora, mbwembwe zilimzidi huyu.
Hivi Gaucho yupo wapi?
Kwa kipi?
Chenga hizo hata Hazard anafanyaUkiachana na WC mimi sioni kingine Gaucho anachomzid Messi.
Gaucho ana mbwembwe sana, ila Messi the way anavyodribble ni burudani tosha kabisa sababu hata Gaucho hadrible kama Messi kwa mimi nionavyo.
Harafu Messi anazile chenga zake za kukutisha kama anaenda kushoto au kulia, ukienda upande huu yeye anaenda upande huu.