naona charminglady unataka kunichonganisha na Mamndenyi
Naam darling...nilitaka kupewa jibu murua ili nipate kutambua rafiki za wanangu maana nao ni wanangu pia...
ahaaa kumbe ni hivyo dady, basi huyo ni rafiki yangu pia
kati ya wale 17 nilikuonesha siku ile wakati wa sherehe ya
Jubileee yenu wewe na mama
si Bishanga na MzeeNi nini kinaendelea binti yangu mpendwa....???
mtu mwenyewe Mzee kikongwe unakomalia mizigo, unataka ufie kifuani? uchunwe hela ya pensheni? utapata ugonjwa wa moyo, mwenzio banana man Bishanga ana mashamba bukobaaaacharminglady mwenyewe amekubali, wewe kama nani unakataa???