Happy birthday my Love moneytalk

Ndo ujitwalie na wewe mmoja hapa ili ubebishwe[emoji6]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Atanichukua nani mie gari bovu! Nipo best, sema majukumu yamenizidi kwa sasa hivyo nalala mapema.
Kwi!kwi!kwi!kwi!eti gari bovu hujui kuna wenzangu na mid huwa wananunua magari sio kwa ajili ya kutembelea bali wapaki uani tu ili ijulikane walau waliwahi kuwa na magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…