Happy birthday my Love moneytalk

Ahsante kwa Dua yako mkuu
 
Maneno mujarab kabisa, neno tamtam kwa mwanaume kulisikia kutoka kwa sweetheart wake, neno lenye kilo likuki za mahaba

Kula la kheri kwenu nyote wewe na Mwifwa
 
Ahsante mkuu.

Kushinda dau haikuwa kazi rahisi.

Hahahaaaa
 
Amina[emoji120] [emoji120]
 
Shemeji how do you expect me to remember your birthday when you never look any older??

Happy birthday [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] uishi miaka 75 tu kama ilivyoamriwa na maandiko matakatifu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakati huo Mwifwa aishi miaka Sabini na tano.

Sema nn. Kwa maombi yangu ninawaombea miaka ,86 kwa mwifwa.... Alafu kwako miaka 92.

Kama haitoshi Mnune tu ,mvimbe na mpasuke[emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…