Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Live long dogo.
Ahsante sana Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Live long dogo.
Kwanini mkuu? Au wanafunzi wanaleta changamoto?Nachoka sana kichwa kuliko kiwiliwili
Amina.Amin Mkuu.
Shukran sana na barikiwa
Happy birthday mdogo wangu Robert
Nipo serious sana kuwa na kwangu ....hivyo nawaza sana natoboka kichwa aiseeKwanini mkuu? Au wanafunzi wanaleta changamoto?
Pole sana mkuu fanya nilivyokwambiaNipo serious sana kuwa na kwangu ....hivyo nawaza sana natoboka kichwa aisee
Happy birthday Mtibeli.
AminaNashukuru sana.
Sasa nimekua mtu mzima. Usumbufu utapungua kwa kiwango kikubwa mno.
Nitakuwa kama kina Mshana na Paschal au mzee mwanakijiji
Sawa 🤗Pole sana mkuu fanya nilivyokwambia
Happy birthday Robert Heriel Mtibeli
Mpendwa Heriel, salamu.
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa. Mimi ni mjadi sisherehekei siku ya kuzaliwa kwani wazazi wangu hawakuwahi kusherehekea wala kuandaa sherehe ya kuzaliwa kwangu. Kijijini kwetu sikuwahi kusikia au kuona familia au mtu binafsi anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Hata hivyo hii ainifanyi mimi nisifurahie na kuwaunga mkono wale wanaosherehekea siku yao ya kuzaliwa. Happy Birthday Heriel.
UMEKUWA CHUMVI YA ULIMWENGU. Hoja zako zilinifanya nifikiri tofauti, zilinihamasisha na wakati mwingine zilikuwa mafunzo na tahadhari kwa vijana, watu wazima na wazee.
Nilikufuatilia sana nilipopata muda. Kidogo unataka kufanana kimaandishi na marehemu MUNGA TEHENAN. Sijui kama uliwahi kumfahamu.
Nipenda stahili yako ya kuandika. Nashauri mawazo yako yaweke kwenye kitabu. Tununue tusome na wanetu na wajukuu.
Ngoja nipumzike sasa(staili yako ya uandishi). Ha ha ha ha.
Aalibaliyo
Ukiwa na thate yako flan hv na mtoto Moja wa kiume pesa uhakika 🤣lazima ufurahi😂 heri ya kuzaliwa kwake
Kwanini mkuu?Ukiwa na thate yako flan hv na mtoto Moja wa kiume pesa uhakika 🤣lazima ufurahi