Happy birthday to me 🎂🎉

MWENY
MWENYEZI MUNGU
akupe faraja pale ulipoumizwa
Kibali kwa kila mtu uingiapo na utokapo
Malaika wakakutangulie uendako wakiwapiga watesi wako
Mikono yako ikawe ya baraka na si yakupokea tu bali ikatoe na kwa wengine wanaohitaji.
ubarikiwe na uishi miaka mingi zaidi ukikuwa kwa busara na unyenyekefu siku zote!
We love you than ice-cream in a desert
 
Thank you Chiwa ,,, barikiwa sana 🙏🏼
 
Jina lako Leejay49 , ume reverse 94 ,mpaka kuwa , 49 , so A,E,I,O,U , happy birthday mtoto mzuri , enjoy your. 29 years old of you , ukitaka ,mume nipo hapa although just 4 months apart too mzee ........
 
Happy birthday mrembo
Niwekee namba yako pm ñikuandalie shairi lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…