Happy birthday to me ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰

Happy birthday to me ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰

Dah mamaโ‚ฌ nisngeona hii post nisnge kumbuka siku yangu ya kuzaliwa. Sema nini HAPPY BORN DAY MALAIKA.
UISHI MIAKA MINGI
 
Hello everyone ๐Ÿ˜Šโ˜บ

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi ๐Ÿ˜Š๐Ÿค—

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you ๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜)..

Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.

Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME ๐ŸŽ‰๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿ˜„๐ŸŽ‚๐ŸŽˆ View attachment 2699335
Birthday blessings babe
 
Back
Top Bottom