Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Birthday blessings babeHello everyone ๐โบ
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi ๐๐ค
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you ๐๐)..
Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu๐๐...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.
Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME ๐๐ฅณ๐ฅณ๐๐๐ View attachment 2699335
Na akioza hanuki.
Amen ๐๐ผ๐๐ผ,, wala hata hujachelewa..thank you makaveli10 ๐๐คKama nimechelewa flani hivi, ila siyo kesi,
Happy birthday mdada Leejay49 mungu ajalie ndoto zako zitimie.
Thank you Saint Anne ๐๐Happy birthday to you
๐ค๐Amen ๐๐ผ๐๐ผ,, wala hata hujachelewa..thank you makaveli10 ๐๐ค
Sawasawa๐๐๐,,, thank you mshamba_hachekwi ๐๐๐ค