Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanta kwa kushukuru.Thank you taamu π€π
Indeed there is a history kwenye kuzaliwa kwako jana ni tarehe 25 July tumeazimisha sikukuu ya mashujaa na leo umezaliwa wewe Shujaa wa Moyo wangu Bingwa kabisa Leejay49Thank you babeππ,, I was here waiting for your comment πππ€
Hongera kwa kuongeza namba ya uzee wish you long lifeπHello everyone πβΊ
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi ππ€
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you ππ)..
Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humuππ...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.
Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME ππ₯³π₯³πππ View attachment 2699335