Happy birthday to me ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰

Happy birthday to me ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana
Kapicha plzzz, tujiridhiahe na UZURI wako ๐Ÿ˜Ž
 
Back
Top Bottom