TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Lowassa Alipokuwa akitukanwa Ni Mfu Mtarajiwa, Kajinyea Mwenye Umahututi, Magufuli alisema Mwacheni? Si alikenyua Meno na Kuwapigia makofi? Mtu mzima angewapiga hawa Makofi. Hii Ni Trailer tu, Malipo ya Uovu yako duniani, Magufuli hajaona hata 1/8 ya Kusemwa na Kupingwa Bado, Atamaliza Muda wake kama akijaliwa, amekonda kama Kijiti kwa Kuwa na Ngozi laini Kama ya Konokono, Lakini Kusema na Kusingizia Wenzake Uwongo hajali. Be able to eat what you dish to others other wise 12417 awayRais ni muacheni afanye yake huyo kijana apewe tu pesa akajaze choi lakn ninaiman kwa uwezo wa mungu Rais hawez kuchafuka hata kidogo....
Tatizo CHADEMA mnapendaga sana ujingaccm katika rangi yake, Nyerere alikua mtukufu, Mkapa mtukufu, Mwinyi mtukufu, Kikwete mtukufu, Magufuli nae ni mtukufu.
Tume huru ya uchaguzi kule Kenya wao tayari wamejielewa na viongozi wake wamejiuzulu.
Wewe bado unatetea wakati ndugu zako hawana ajira
1) Kutaka Mtu Kama Jecha apewe Tuzo Ni Unafiki na UovuTunapata taabu sana kukuelewa unapoishia kulalamika kua Magufuli ni muovu bila kuuweka wazi huo uovu wenyewe sasa.
Ila pia kukaa kimya ni kumpa umaarufu Ben. Wacha kaka Lizaboni aendelee kutudadavuliaAnyway lakinu kumjadili mtu kama Ben Saa Nane ni kupoteza muda tu.
Mudamwingine kaa kimya maana unafanya majibizano na mtu ambaye akili yake inaendeshwa kwa remote control sio rahisi kuelewana nae.
Ben ni kibaka kila siku nasema ni cheap material kwa wenye pesa.Hana uwezo wa kusimamia akili yake wala kujitawala.
Achana nae jenga nchi yako.Sisi ni matendo tu.
Usiseme watanzania tuna imani na rais zungumzia nafsi yako peke yakoMwanzoni mwa mwaka huu, niliweka taarifa kwenye mitandao ya kijamii hususan hapa Jamiiforums juu ya Mkuu wa Sera na Utafiti CHADEMA, Ben Saanane kununuliwa vitendea kazi kama simu, kompyuta mpakato, ipad, tablets na zana nyingine. Nilieleza kuwa aliyemnunulia vitu hivyo ni Edward Lowasa. Nilitoa sababu za Lowasa kufanya hivyo ni kutaka Mkuu huyo wa Sera na Utafiti afanye kazi ya kumsafisha Lowasa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia amshambulie Rais Magufuli ili tunapoingia 2020, asiaminike tena. Nilieleza kuwa Ben na Lowasa wamekubaliana kuwa malipo ya kazi hiyo ni milioni 4 kwa mwezi.
Kwenye uzi ule, nilieleza bayana kuwa Ben Saanane amepangiwa ofisi ya kufanyia kazi hiyo katika sehemu ambapo sikubainisha kwenye mtandao kutokana na sababu za kimkakati.
Hata hivyo, baada ya uzi ule kuwekwa, Ben Saanane alikosa uvumilivu. Aliishia kuporomosha lugha zilizokosa staha kwa lengo la kushinikiza mods waufute. Alifanikiwa. Uzi ule ukaenda na maji. Leo mdogo wangu Ben namuomba awe mvumilivu ili tujadili kwa staha.
Miezi 5 imepita sasa tangu Ben Saanane anunuliwe. Matunda ya uwekezaji ule yameanza kuonekana. Ben Saanane na genge lake wameanza mashambulizi dhidi ya Rais kwa hoja ambazo kimsingi hazina mashiko.
Ben Saanane na genge lake wameshindwa kabisa kuona udhaifu wa Rais Magufuli kiutendaji na badala yake wanaegemea kwenye mipasho na mapambio. Wanafanya siasa za kuvizia. Niliwahi kuanzisha mada humu kwamba, ikitokea Rais akawa bubu, je CHADEMA watakuwa na ajenda zipi?
Tathmini yangu ya muda mfupi imebaini kwamba, hoja zinazojengwa na Ben Saanane na genge lake zinategemea nini Rais anaongea. Kwa maana utendaji wa Rais uliotukuka unasababisha Ben Saanane na Genge lake wakose hoja za kumkosoa. Hata kama wanapojaribu kukosoa utendaji, wanakosoa kwa hoja dhaifu. Mathalan, ziliponunuliwa ndege mpya mbili aina ya Bombadier Q400, walijenga hoja za kitoto eti ndege hizo hazina mwendo. Mara wanasema ni mapangaboi. Mara wanasema eti water salute haikufanyika kisawasawa. Almradi wanawaonesha wafadhili wao kuwa wametimiza wajibu wao. Utoto.
Uwezo wa vijana wa CHADEMA katika kujenga hoja ni mdogo. Kuna wakati Lusinde aliwahi kuwaambia kuwa akili zao zimeshikiliwa na Mbowe na ndio maana wanawaza kimbowembowe tu.
Hata hivyo, najaribu kuwaza, je kazi anayofanya Ben Saanane na genge lake inatosheleza matakwa ya wafadhili wake? Je watafanikiwa kushusha morali ya Rais Magufuli katika kuwatumikia wananchi? Je watakwamisha juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Magufuli katika kutekeleza ilani ya CCM? Thubutu! Rais ameapa kuwa hakuna atakayekwamisha utekelezaji wa Ilani ya CCM. Ben Saanane na Genge lake wataishia kujadili water salute, kuomba Salary Slip ya Rais na kujipongeza kutokana na kauli ya Rais kuwa anatamani malaika afungie mitandao ya kijamii kwa mwaka mmoja ili itakapofunguliwa wakute Tanzania imepaa.
Nimhakikishie Rais wangu kuwa, hawa wapiga kelele mitandaoni hawatafanikiwa kukwamisha harakati zako za kuwaletea maendeleo wananchi. Waache wapige kelele. Wewe piga kazi. Mwisho wa siku kelele zao zitageuka kuwa kicheko kwako. Watanzania tuna imani kubwa kwako. Kazi unayofanya inapokelewa kwa mikono miwili na Watanzania. Utafiti wa Twaweza unabainisha kuwa 96% ya Watanzania wanakulibali. Endelea kupiga kazi ili ifikapo 2020, wapinzani waone aibu kumsimamisha mgombea Urais kupambana na wewe.
Tupo wengi Mkuu. Muulize Dr Slaa na timu yake akina Marehemu Mohamed Mtoi, John Mnyika, Michael Aweda, Hodbless Lema, Mungi, Crashwise, Maskini Mkulima, Zitto Kabwe na wengine tulivyokuwa tunawachachafya mitandaoni mpaka wakaomba poooNitajie kijana makini wa ccm aneweza kujenga hoja ata upande wa pili wakasoma na kumuelewa
sijui povu la niniSasa ww unapata shida ya nin,Saananen ni kajtu kadogo sana unapata shida ya nin?? Hofu yako nin haswa?
Nyuma ya lizaboni nipo mimiMkuu, mimi ni mwana CCM na nimeanza haraksti hizi mapema.