alaksh natena JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 462 Reaction score 523 May 4, 2022 #61 Hapo sijui anapima nn coz hajafuata taratibuu za upimaji na hakuna ST iliyotengwa kufanya ufuatiliaji huo na angekuwa mtaalam angepima compaction, hrr nk kwa machine maalum na kupeleka sampuli maabara
Hapo sijui anapima nn coz hajafuata taratibuu za upimaji na hakuna ST iliyotengwa kufanya ufuatiliaji huo na angekuwa mtaalam angepima compaction, hrr nk kwa machine maalum na kupeleka sampuli maabara
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 May 4, 2022 #62 Pohamba said: Mbio za Mwenge ni muhimu sana Click to expand... Tuuzime
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 4, 2022 #63 Inasikitisha sana...