alaksh natena
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 462
- 523
Hapo sijui anapima nn coz hajafuata taratibuu za upimaji na hakuna ST iliyotengwa kufanya ufuatiliaji huo na angekuwa mtaalam angepima compaction, hrr nk kwa machine maalum na kupeleka sampuli maabara