Harbinder Sigh Seth amewekeza nini Tanzania kinacholipa fedha alizoelekezwa? Akirudi kwao Kenya itakuwaje?

Maswali uliyo nayo, kila mtu anayo ila hatuna wa lutupatia majibu sahihi

Tujipe muda, muda ni mwalimu mzuri sana and by then tutajua kila kitu kama tumepigwa au kama kuna jambo linafichwa, ila nahisi huyu singasinga atatoroka nchi very soon given kwamba hata hati ya kusafiria bado anayo
Na kumbuka wakat wanamkamata miaka ile walimkamatia airport akiwa anataka kutoroka...hana jeur ya kulipa mzigo wa bil zote hzo.walisha mfilis..huyo katoka amshukuru kenyatA
 
Kwao huyu asili yake Mkinga wa Iringa Tanzania, ni mtanzania kindakindaki na mmoja wa wafanyabiashara wa kiTanzania waliofanikiwa kufanya biashara kubwa kubwa ndani na kimataifa tena kuaminiwa na serikali kadhaa nje ya Tanzania

Harbinder Seth (Singh) Iringa Tanzania from www.standardmedia.co.ke
2 Jul 2017 — ... the 1990s like business tycoon Harbinder Singh Sethi. Born and raised in Iringa, a small town in Tanzania's ...
Few people received top dollar construction contracts from the Kenyan government in the 1990s like business tycoon Harbinder Singh Sethi.

Born and raised in Iringa, a small town in Tanzania’s Southern Highlands, Sethi arrived in Nairobi in the 1980s.

At that time, the idea of tenderprenuership was still new in Kenya. But for a man who had founded his first company at 19, he knew at an early age that he could make a fortune from lucrative multi-billion shilling construction contracts from government entities.

Sethi quickly understood the Harambee spirit building up in Kenya and would from time to time show up at public functions to give ‘generous donations’. His donations would grab media headlines and endear him to government officials.

But it was not until after Ruaha Concrete Co Ltd, a firm he founded together with his siblings, was caught in scandals that his business activities in Kenya started receiving attention.

A 1997 report by the Auditor General found that Ruaha irregularly received a contract from Kenya Pipeline Company (KPC) to build a 9km access road. Despite this, the construction was still rocked by serious delays, large cost overruns and poor workmanship.

The project cost shot up two and a half times from Sh197 million in February 1995 to over Sh510 million by June 1998, when the road was finally completed. The auditor recommended that Ruaha Concrete be blacklisted and investigated.

READ MORE : How tycoon with dubious Kenyan past got entangled in Tanzania’s mega scam
Ila hawa jamaa rangi zimewabeba sana kupata deal za maana ukanda huu...mswahili akishaona muhind au muarab au mzungu akili yake inamwambia huyu anazo huyu na anaweza kaz kumbe tapel .
 
Sethi ni Mtanzania, mzaliwa wa Ruaha Iringa na ndio mwenye kampuni ya Ruaha Construction ya Kenya. Sethi ni tajiri mkubwa sana wa akili, hali na mali, hiyo IPTL, kile kiwanja tuu ni zaidi ya bilioni 30, bado majengo, bado mitambo. Hivyo akiwa huru, hiyo bilioni 26 japo amepewa mwaka mzima wa kulipa, lakini will make it within 6 months.

Hivyo usiwe na wasiwasi kabisa.

Kufuatia jina lako la pili, nilidhani badala ya kuandika kumhusu Sethi, nilidhani utaandika kumhusu ndugu yako JR, atendewe haki kwa kuachiwa bila masherti yoyote maana kiukweli hana kosa lolote na usikute ni karma ya mateso ya huyu mzee imechangia kumharakisha naniliu!.
P
Mzee mnafki sana wew...kumharakisha nan...seth anadaiwa bil 200+ vip hzo keshalipa...kuhusu JR kuna kilichomponza si bure..ingawa kiukwel kes hana
 
Sethi ni Mtanzania, mzaliwa wa Ruaha Iringa na ndio mwenye kampuni ya Ruaha Construction ya Kenya. Sethi ni tajiri mkubwa sana wa akili, hali na mali, hiyo IPTL, kile kiwanja tuu ni zaidi ya bilioni 30, bado majengo, bado mitambo. Hivyo akiwa huru, hiyo bilioni 26 japo amepewa mwaka mzima wa kulipa, lakini will make it within 6 months.

Hivyo usiwe na wasiwasi kabisa.

Kufuatia jina lako la pili, nilidhani badala ya kuandika kumhusu Sethi, nilidhani utaandika kumhusu ndugu yako JR, atendewe haki kwa kuachiwa bila masherti yoyote maana kiukweli hana kosa lolote na usikute ni karma ya mateso ya huyu mzee imechangia kumharakisha naniliu!.
P
Hypocrite.
 
Kuna kiwanja cha Bilioni 30 hapa Tanzania kweli??

Mzee mbona unaamua kutupiga kamba asubuhi yote hii.

Hii dili ya sethi ni kama tumesamehe bilioni 400 ili tulipwe bilioni 26.
 
Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga?

Ukiisoma taarifa za Kenya it's like huyu Ni raia wa Kenya na amepiga dili huko pia kabla yakuja Tanzania. Je, hapa nchini amewekeza nini tunachoweza kuuza akitiroka?

Kwa umri wake na ujanja alionao na kwa kuzingatia hukumu ya jana isiyo na masharti magumu kwake tunaamini vipi kwamba atalipa? Kwa uzee ule akigoma akikimbia nchi tutafanya Nini?

Kuna watu wameshangilia kusikia bilioni kadhaa zitalipwa, ila nadhani tunapaswa kuitaka serikali iwe inatupa updates kila zinapolipwa isijekuwa game limechezwa Kati ya DPP na mahakama Mzee atoke na tusilipwe fedha iliyoamuliwa.

Sitosau nilivyodhulumiwa noha yangu kipindi Cha makinikia........
Ni Mtanzania acheni ubaguzi nyie MATAGA, hivi tukiulizana U-Tanganyika hapa kuna atakayebaki, kuanzia Bashe na vikara-gooose vyote?
 
Swala la escoro lipo clear kabisa ndugu hukuwasikia akina msigwa na mbowe bungen , kwenye report ya PAC
Kimsingi hela ya tenseco na IPtl ndo uliyotumika tena kununua IPtl na hongo kibao
Kumbukeni hata pesa ya ESCROW siyo kwamba yote haikuwa yake. Alikuwa na mgawo wake pale tena ndio ratio kubwa.
 
Kuna kiwanja cha Bilioni 30 hapa Tanzania kweli??

Mzee mbona unaamua kutupiga kamba asubuhi yote hii.

Hii dili ya sethi ni kama tumesamehe bilioni 400 ili tulipwe bilioni 26.
400B Kivipi ?
 
Sethi ni Mtanzania, mzaliwa wa Ruaha Iringa na ndio mwenye kampuni ya Ruaha Construction ya Kenya. Sethi ni tajiri mkubwa sana wa akili, hali na mali, hiyo IPTL, kile kiwanja tuu ni zaidi ya bilioni 30, bado majengo, bado mitambo. Hivyo akiwa huru, hiyo bilioni 26 japo amepewa mwaka mzima wa kulipa, lakini will make it within 6 months.

Hivyo usiwe na wasiwasi kabisa.

Kufuatia jina lako la pili, nilidhani badala ya kuandika kumhusu Sethi, nilidhani utaandika kumhusu ndugu yako JR, atendewe haki kwa kuachiwa bila masherti yoyote maana kiukweli hana kosa lolote na usikute ni karma ya mateso ya huyu mzee imechangia kumharakisha naniliu!.
P
Naona umnui huyu mtu, endelea kudhani Ni Mtanzania na kazaliwa iringa kwa kudanganywa na reporters.
Msome Seth huko Kenya na South Africa utagundua Ni kiumbe wa aina gani na raia wa wapi?

Soma hati yake ya mashtaka ujua uraia wake ,tafiti kuhusu unazodhani Ni Mali zake Kama ujakuta wamiliki wengine. Huyu Ni mwizi abayetumia wanasiasa

Kuhusu Ruge Wala sidhan Kama anapaswa kutetewa Ni mwizi tu Kama wez wengine.tusilete ukabila kwenye wizi, mwizi abaki kuwa mwizi.
 
Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga?

Ukiisoma taarifa za Kenya it's like huyu Ni raia wa Kenya na amepiga dili huko pia kabla yakuja Tanzania. Je, hapa nchini amewekeza nini tunachoweza kuuza akitiroka?

Kwa umri wake na ujanja alionao na kwa kuzingatia hukumu ya jana isiyo na masharti magumu kwake tunaamini vipi kwamba atalipa? Kwa uzee ule akigoma akikimbia nchi tutafanya Nini?

Kuna watu wameshangilia kusikia bilioni kadhaa zitalipwa, ila nadhani tunapaswa kuitaka serikali iwe inatupa updates kila zinapolipwa isijekuwa game limechezwa Kati ya DPP na mahakama Mzee atoke na tusilipwe fedha iliyoamuliwa.

Sitosau nilivyodhulumiwa noha yangu kipindi Cha makinikia........
Hivi aliingizabhasara ya sh ngapi ili hiyo faini iwe sawa.Mimi naona kama jamaa alipiga zaidi.ni sawa na kusababisha ajali kubwa iliyoingiza hasara ya milion 2 halafu ukaandikiwa faini ya barabarani sh 30,000
 
Naona umnui huyu mtu, endelea kudhani Ni Mtanzania na kazaliwa iringa kwa kudanganywa na reporters.
Msome Seth huko Kenya na South Africa utagundua Ni kiumbe wa aina gani na raia wa wapi?

Soma hati yake ya mashtaka ujua uraia wake ,tafiti kuhusu unazodhani Ni Mali zake Kama ujakuta wamiliki wengine. Huyu Ni mwizi abayetumia wanasiasa

Kuhusu Ruge Wala sidhan Kama anapaswa kutetewa Ni mwizi tu Kama wez wengine.tusilete ukabila kwenye wizi, mwizi abaki kuwa mwizi.
Mataga awamu hii Hanna chenu [emoji23][emoji23].
 
Kuna kiwanja cha Bilioni 30 hapa Tanzania kweli??

Mzee mbona unaamua kutupiga kamba asubuhi yote hii.

Hii dili ya sethi ni kama tumesamehe bilioni 400 ili tulipwe bilioni 26.
Na deni la standard chartered bank Malaysia mdhamini pia itabidi tulipe maana kuna guarantee ya serekali joy ya deni hilo
 
Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga?

Ukiisoma taarifa za Kenya it's like huyu ni raia wa Kenya na amepiga dili huko pia kabla yakuja Tanzania. Je, hapa nchini amewekeza nini tunachoweza kuuza akitiroka?

Kwa umri wake na ujanja alionao na kwa kuzingatia hukumu ya jana isiyo na masharti magumu kwake tunaamini vipi kwamba atalipa? Kwa uzee ule akigoma akikimbia nchi tutafanya Nini?

Kuna watu wameshangilia kusikia bilioni kadhaa zitalipwa, ila nadhani tunapaswa kuitaka serikali iwe inatupa updates kila zinapolipwa isijekuwa game limechezwa kati ya DPP na mahakama Mzee atoke na tusilipwe fedha iliyoamuliwa.

Sitosau nilivyodhulumiwa noha yangu kipindi cha makinikia.
Pole kwa kukosa Noah ya Makinikia, Utapata Coaster ya Tanzanite.
 
Aliiba kwa kushirikiana na viongozi wetu
 
Unayo hoja, but je zile pesa ni za umma? Maana tangu kipind kile mara viongozi waseme sio pesa ya umma. So ni vyema tujue hilo
 
Rugemalila hataki ku negotiate na DPP anataka wamfikishe mahakamani ili akamwage mchele kwenye kuku wengi na ashasema apelekwe mahakamani ili akaseme nani aliechota mpunga ila kuna mtu analindwa thus why wanawalazimisha wa negotiate na DPP ili mambo yaishe kimya kimya...[emoji23][emoji23]
By the way tukimalizana nao kuna deni jingine la usd 180m tunadaiwa kwenye mahakama ya kimataifa kwa issue hii hii ya IPTL. Kodi zetu mimi na ww zinatakiwa huko, tusipolipa sisi watalipa watoto wetu au wajukuu zetu.
 
Sethi ni Mtanzania, mzaliwa wa Ruaha Iringa na ndio mwenye kampuni ya Ruaha Construction ya Kenya. Sethi ni tajiri mkubwa sana wa akili, hali na mali, hiyo IPTL, kile kiwanja tuu ni zaidi ya bilioni 30, bado majengo, bado mitambo. Hivyo akiwa huru, hiyo bilioni 26 japo amepewa mwaka mzima wa kulipa, lakini will make it within 6 months.

Hivyo usiwe na wasiwasi kabisa.

Kufuatia jina lako la pili, nilidhani badala ya kuandika kumhusu Sethi, nilidhani utaandika kumhusu ndugu yako JR, atendewe haki kwa kuachiwa bila masherti yoyote maana kiukweli hana kosa lolote na usikute ni karma ya mateso ya huyu mzee imechangia kumharakisha naniliu!

P
Naniliu ameondoka kwa mchanganyiko wa machozi na damu za wengi
 
haya madili yote yalifanyika kwa baraka za wakubwa hivo sioni haja ya kuwasumbua watu hawa.
 
Back
Top Bottom