emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
Hahaha jamani muwe mnajitahidi kutafuta taarifa sahihi kabla hamjaandika humuIPTL sio Mali yake ndugu Huyu jamaa nasikia alitoa shilingi 6m , akaruhusiwa kumilikai mahela ya Kwenye account ya escoro kimsingi hakuja na hela yote ya maana