Watu hao wakubwa waliofanikisha madili na kufaidika ni wanasiasa wakubwa katika serikali na kulazimisha pia wafanyabishara asilimia fulani "michango" mingine ielekezwe vyama vya siasa, shule binafsi, taasisi za kidini na NGOs fulani.haya madili yote yalifanyika kwa baraka za wakubwa hivo sioni haja ya kuwasumbua watu hawa.
mitambo ya IPTL siyo yake,alitaperiKiwanda cha IPTL ndio dhamana yake.
Akikimbia kile kiwanda kinakua mali ya serikali.
Huyu mzee ana spirit ya Lema, hahaRugemalila hataki ku negotiate na DPP anataka wamfikishe mahakamani ili akamwage mchele kwenye kuku wengi na ashasema apelekwe mahakamani ili akaseme nani aliechota mpunga ila kuna mtu analindwa thus why wanawalizimisha wa negotiate na DPP ili mambo yaishe kimya kimya...[emoji23][emoji23]
By the way tukimalizana nao kuna deni jingine la usd 180m tunadaiwa kwenye mahakama ya kimataifa kwa issue hii hii ya IPTL. Kodi zetu mimi na ww zinatakiwa huko, tusipolipa sisi watalipa watoto wetu au wajukuu zetu.
Ndo ukweli huo ametapeli tu hayo madudemitambo ya IPTL siyo yake,alitaperi
Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga?
Ukiisoma taarifa za Kenya it's like huyu ni raia wa Kenya na amepiga dili huko pia kabla yakuja Tanzania. Je, hapa nchini amewekeza nini tunachoweza kuuza akitiroka?
Kwa umri wake na ujanja alionao na kwa kuzingatia hukumu ya jana isiyo na masharti magumu kwake tunaamini vipi kwamba atalipa? Kwa uzee ule akigoma akikimbia nchi tutafanya Nini?
Kuna watu wameshangilia kusikia bilioni kadhaa zitalipwa, ila nadhani tunapaswa kuitaka serikali iwe inatupa updates kila zinapolipwa isijekuwa game limechezwa kati ya DPP na mahakama Mzee atoke na tusilipwe fedha iliyoamuliwa.
Sitosau nilivyodhulumiwa noha yangu kipindi cha makinikia.
Pasco katika ubora wako..šš"Kumharakisha naniliu"Sethi ni Mtanzania, mzaliwa wa Ruaha Iringa na ndio mwenye kampuni ya Ruaha Construction ya Kenya. Sethi ni tajiri mkubwa sana wa akili, hali na mali, hiyo IPTL, kile kiwanja tuu ni zaidi ya bilioni 30, bado majengo, bado mitambo. Hivyo akiwa huru, hiyo bilioni 26 japo amepewa mwaka mzima wa kulipa, lakini will make it within 6 months.
Hivyo usiwe na wasiwasi kabisa.
Kufuatia jina lako la pili, nilidhani badala ya kuandika kumhusu Sethi, nilidhani utaandika kumhusu ndugu yako JR, atendewe haki kwa kuachiwa bila masherti yoyote maana kiukweli hana kosa lolote na usikute ni karma ya mateso ya huyu mzee imechangia kumharakisha naniliu!
P
Anahasira toka aambiwe ana njaaPasco katika ubora wako..[emoji23][emoji23]"Kumharakisha naniliu"
Mleta mada muongozo huo hapo...Sethi ni Mtanzania, mzaliwa wa Ruaha Iringa na ndio mwenye kampuni ya Ruaha Construction ya Kenya. Sethi ni tajiri mkubwa sana wa akili, hali na mali, hiyo IPTL, kile kiwanja tuu ni zaidi ya bilioni 30, bado majengo, bado mitambo. Hivyo akiwa huru, hiyo bilioni 26 japo amepewa mwaka mzima wa kulipa, lakini will make it within 6 months.
Hivyo usiwe na wasiwasi kabisa.
Kufuatia jina lako la pili, nilidhani badala ya kuandika kumhusu Sethi, nilidhani utaandika kumhusu ndugu yako JR, atendewe haki kwa kuachiwa bila masherti yoyote maana kiukweli hana kosa lolote na usikute ni karma ya mateso ya huyu mzee imechangia kumharakisha naniliu!
P
Singa hajaiba hela wewe,tumia akili basi,,yaani uibe bilioni 300,uambiwe kulipa bilion 23,,uliona wapi hiyo?,Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga?
Ukiisoma taarifa za Kenya it's like huyu ni raia wa Kenya na amepiga dili huko pia kabla yakuja Tanzania. Je, hapa nchini amewekeza nini tunachoweza kuuza akitiroka?
Kwa umri wake na ujanja alionao na kwa kuzingatia hukumu ya jana isiyo na masharti magumu kwake tunaamini vipi kwamba atalipa? Kwa uzee ule akigoma akikimbia nchi tutafanya Nini?
Kuna watu wameshangilia kusikia bilioni kadhaa zitalipwa, ila nadhani tunapaswa kuitaka serikali iwe inatupa updates kila zinapolipwa isijekuwa game limechezwa kati ya DPP na mahakama Mzee atoke na tusilipwe fedha iliyoamuliwa.
Sitosau nilivyodhulumiwa noha yangu kipindi cha makinikia.
Ajabu sana,,ukiwauliza kaiba nini,hawana jibu,,hii ni dhulma,,ndo maana Rugemalila kaamua afie tu gerezani kuliko kukubali na dhulma..Ameiba nini mkuu? Huyu ni siasa tu. Kachukua hela ambayo mliyomuambia ni zake. Baada ya miaka miwili mnasema kaiba. Au unasahau ule ubishi wapinzani walisema ni hela ya serikali nyie mkasema ni za IPTL?
Sasa kanunua kampuni, kadraw hela zake , baada ya muda mnamgeuka mnasema kaiba!
Punguza kulialia we dadaHuyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga?
Ukiisoma taarifa za Kenya it's like huyu ni raia wa Kenya na amepiga dili huko pia kabla yakuja Tanzania. Je, hapa nchini amewekeza nini tunachoweza kuuza akitiroka?
Kwa umri wake na ujanja alionao na kwa kuzingatia hukumu ya jana isiyo na masharti magumu kwake tunaamini vipi kwamba atalipa? Kwa uzee ule akigoma akikimbia nchi tutafanya Nini?
Kuna watu wameshangilia kusikia bilioni kadhaa zitalipwa, ila nadhani tunapaswa kuitaka serikali iwe inatupa updates kila zinapolipwa isijekuwa game limechezwa kati ya DPP na mahakama Mzee atoke na tusilipwe fedha iliyoamuliwa.
Sitosau nilivyodhulumiwa noha yangu kipindi cha makinikia.
Hakuchotaš¤£,yslikua malipo ya umeme aliotuuzia,,tuacheni dhulmaAlichota Bil 300+ analipa 26.9, halafu inasadikika hajafikisha miaka hata 50 ya umri, kwahiyo si mzee
Mkuu, kuna mstari humuhumu jukwaani unasema alichota, bahati mbaya sikumbuki mkeka upi ningeutandika hapaHakuchotaš¤£,yslikua malipo ya umeme aliotuuzia,,tuacheni dhulma
Hata wew Ukienda India ukae miaka Mia huwez kuitwa muhindi mwenye asili ya Tanzania,,acha kujishusha uwe na akili,,huyu Ni muhamiaji tuu na sisi wa tz hatuna muhehe singa singa Kama huyu bro.Harbinger Seth sio Mkenya ni Mhehe wa Ipogolo, Iringa
Ameiba nini mkuu? Huyu ni siasa tu. Kachukua hela ambayo mliyomuambia ni zake. Baada ya miaka miwili mnasema kaiba. Au unasahau ule ubishi wapinzani walisema ni hela ya serikali nyie mkasema ni za IPTL?
Sasa kanunua kampuni, kadraw hela zake , baada ya muda mnamgeuka mnasema kaiba!
Kwanza huyo singa hajaiba hata senti moja,pili huyo ni raia wa tanzanua kwao ni iringa,kenya anaishi tuHuyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga?