E emmanuel mruma JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,778 Reaction score 1,718 Jun 20, 2021 #61 zithromax said: IPTL sio Mali yake ndugu Huyu jamaa nasikia alitoa shilingi 6m , akaruhusiwa kumilikai mahela ya Kwenye account ya escoro kimsingi hakuja na hela yote ya maana Click to expand... Hahaha jamani muwe mnajitahidi kutafuta taarifa sahihi kabla hamjaandika humu
zithromax said: IPTL sio Mali yake ndugu Huyu jamaa nasikia alitoa shilingi 6m , akaruhusiwa kumilikai mahela ya Kwenye account ya escoro kimsingi hakuja na hela yote ya maana Click to expand... Hahaha jamani muwe mnajitahidi kutafuta taarifa sahihi kabla hamjaandika humu
Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Jun 20, 2021 #62 ndiuka said: Harbinger Seth sio Mkenya ni Mhehe wa Ipogolo, Iringa Click to expand... Mhehe huyo Singa singa? Sema ni mzaliwa wa Iringa sio lasima ukizaliwa Iringa uwe mhehe. Angekuwa amejinyonga longitaimu
ndiuka said: Harbinger Seth sio Mkenya ni Mhehe wa Ipogolo, Iringa Click to expand... Mhehe huyo Singa singa? Sema ni mzaliwa wa Iringa sio lasima ukizaliwa Iringa uwe mhehe. Angekuwa amejinyonga longitaimu