Harmonize akiwa na Boss wake mpya

Ulicho kiandika umekisoma? Harmonize anaenda kuwa chini ya uongozi/usimamizi/managemnt chini ya jembe ni jembe sasa hapo anajenga empire ama?
Ni moja yasafari yakujitegemea mkuu..iko kama MTU kuhama masikani na kwenda kupanga na then kujenga House yake .
 
Dabliusibii ni kama maji, atajuta Sana, haoni yule mwenzie
 
Kuna wakati sisi masikini huwa atuaminiki hata kidogo. Kama aliweza kumwacha Wolper na kufuata pesa kwa mzungu. Fikiria namna Wolper alivyokuwa akidharauliwa kutoka na mwanaume mshamba wakati ule. Usishangae ayafanyayo Leo.
 
Hakuna kitu kama hcho Popote pale penye uhai, lazima classes ziwepo Tu, Shetani alitaka kujitanua mambo yakaenda ndivyo sivyo....yaani Konde boy kama ameondoka WCB ajiandae kufight kwelikweli hakuna Rehema wala Huruma, somtyme hata ikilazimika kuua itabidi afanye hyvo..., chuki , wivu , fitina na kurogana ni sehemu ya njia atakayopitia, nyuma ya pazia Diamond alikuwa anampambania Sana ili apite Kwa mtelezo, sjajua kama analifahamu hili, mambo siyo rahisi kama tunavyofikilia , sasa amebaki alone to fend himself , na hapo ili achomoze zaidi, atalazimika kufight to death, Diamond mwenyewe amefika hapo kwa machozi na Damu...Dunia tambara bovu!!
 
Get rich or die trying
 
Sijakuambia Rugs amemtengeneza Domo,ila Domo alimpiga chini Ruge na akampa dau kubwa kwenye events zake ikiwemo Fiesta ndipo walipoanza kwenda tofauti
 
Basi haulijui game la Muziki kama haulijui hilo,
Diamond alikuwa na manager wake wa kwanza ambaye anaitwa papa misifa before hajawa na Papa misifa aliwahi kwenda THT kuomba kujiunga na alienda na barnaba lakini alikataliwa na ruge but barnaba ndoalikubaliwa baadae so diamond akaamua afight kivyake ndo baadae akampata papa misifa baadae akaacha nae ndo akampata Babu tale so huyo aliyesema diamond alikuwa chini ya management ya ruge kakudanganya.
 
Hivi huyu Ruge mnayesema ndie alimtengeneza Diamond, alimtengeneza lini?! Man, kabla Diamond hajawa chini ya akina Tale, alikuwa na Chifu Kiumbe na sio Ruge!!
Si kweli, tafuta interview wakati anampa gari mzee ngurumo management gani ndio ilimwambia mpe gari au nani alimuunganisha na Davido
 
Duu umesoma ulichoandika kweli?? Umeona wapi mtu anawekeza sehemu isiyo na faida.
Tatizo ni lako hujaelewa nilichoandika. Em rudia tena kusoma au kama nilipochanganya ngeli kunakupiga chenga sema usaidiwe kutafsiri
 
Si kweli, tafuta interview wakati anampa gari mzee ngurumo management gani ndio ilimwambia mpe gari au nani alimuunganisha na Davido
Diamond hajawahi kuwa chini ya ruge kabisa zaidi ya papa misifa babutale,sallam na mkubwafela au ujui maana management?
 
Si kweli, tafuta interview wakati anampa gari mzee ngurumo management gani ndio ilimwambia mpe gari au nani alimuunganisha na Davido
Aliyemuunganisha Mondi na Davido ni Sallam Sk na ndio aliyeipeleka na kuforce number one kupata airtime Trace Nigeria baada trace ya SA kumbania.

Kama hujui AY na Sallam Sk ndio walio mleta Davido Fiesta kupitia kampuni yao ya Unit Entertanment ambao pia Sallam Sk na Ay walikuwa mawakala wa Psquare EA.

Sasa hivi Sallam ni anameneji Kazi za Wizkid EA na Sunday meneja wa WizKid ana meneji kazi za Diamond West Africa.

Mahusioano ya Ruge yalianza baada ya Ruge kuona potential ya kibiashara kwa Diamond.

Mondi alikataliwa THT,Papa Misifa ndiye alimchukua na kuwekeza hela zake kwa Diamond na akampeleka kwa Bob Junior,Bob akambadilisha akawa mwimbaji.

Meneja wa pili Mondi ni mmiliki wa I-View,baada ya hapo akaja Fella na Tale na Mondi aka propose Sallam Sk ameneji kazi zake nje ya nchi baada ya kugundua collabo zote alizofanya AY nyuma yake alikuwa Sallam Sk ,ambaye huko nyuma alikuwa meneja wa Ay.

Sallam ndio anayesimamia kazi za nje na kumlink Diamond na mapromota mbalimbali Africa na ndio maana kazi za Diamond zinafika mbali na kila muda yupo booked nchi mbali mbali hawa akina Tale na Fella zone yao ni EA.

Refer uzi wa 2016.

 
Harmonize ndo atakae poteza maana amekubali kusimamiwa na mtu ambae redio yake haisikiki hata Dodoma, Dar, Arusha etc...maana yake huyo Jembe connection hana
 
Si kweli, tafuta interview wakati anampa gari mzee ngurumo management gani ndio ilimwambia mpe gari au nani alimuunganisha na Davido
Sasa baada ya Ruge kumuunganishia collabo Diamond kwa Davido; alifanya hivyo kwa wasanii wangapi wengine kutoka THT ambayo ndo ilikuwa chini ya Ruge?! Acha uongo bhana, ni Sallam ndie alikuwa ana link na wasanii wa Nigeria! Na hata huyo Sallam sio kwamba alimuunganishia bure, bali alilipa kufanya collabo na Davido kwa sababu wakati huo Diamond hakuwa chini ya Sallam!
 
Kuna sehemu nimeandika Ruge ndio amemtoa Mondi?usijitungie swali
 
Exactly, Papa Misifa! Nimechanganya nikasema Chifu Kiumbe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…