Harmonize amemkosea Mungu sana kwa hili alilolifanya

Unamsujudia vipi MWANADAMU mwenzako πŸ‘‡ sijui ulimbukeni au ustar ndo unamuendesha.
Wamakonde manafeli wapi?
View attachment 2552126
Unajua jamii huwa unawadanganya watu na kuwaaminisha kinyume.

Image mtu kuuwa uraiyani anaita mtu hatari, na mtu huyohuyo kuuwa maelfu kwenye vita anaitwa shujaa.

Umejuaje hiyo ni ishara ya kusujudu?
 
Unajua jamii huwa unawadanganya watu na kuwaaminisha kinyume.

Image mtu kuuwa uraiyani anaita mtu hatari, na mtu huyohuyo kuuwa maelfu kwenye vita anaitwa shujaa.

Umejuaje hiyo ni ishara ya kusujudu?
We dini gani na kama huna dini. Kagoogle kusudu nini?
 
Unajua jamii huwa unawadanganya watu na kuwaaminisha kinyume.

Image mtu kuuwa uraiyani anaita mtu hatari, na mtu huyohuyo kuuwa maelfu kwenye vita anaitwa shujaa.

Umejuaje hiyo ni ishara ya kusujudu?
Hahahaha!!! Nahisi tafsiri tu na mtizamo wake ndo anataka uwe wa jamii nzima, unaweza sema kitu frani NI dhambi then kwa wengine ikawa kinyume chake.
 
Bange mbaya sana, madawa ya kulevya na kutrend vonawatoa akili sana hawa vijana wanafanya mambo ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…