Usiwe ni mtu wakukariri kile uchofundishwa au kukisoma bila ya kuongeza na chakwako.
Mfano. Nikikuuliza moja jumlisha moja utaniambia ni mbili, kwasababu utasema ukichukua kitu kimoja na kingine vitakuwa viwili. Sasa nikikuambia aliyekuambia moja jumlisha moja ni mbili utakataa, huwezi kukataa kasababu aliyekufundia moja jumlisha moja aliona una uwezo mdogo wa kuelewa kwaiyo akakukaririsha na wewe ukakariri hivyo hivyo kutokana na uwezo wako mdogo wakufikiri kipindi icho na wewe ukajua n kweli moja jumlisha moja ni 2