Nilichogundua kwako wewe si mpenzi wa mziki you know nothing in music industry ila umebobea kwenye uhater zaidi ndo maana anatengeneza hoja zisizo na nguvuMavoko aliingia wcb akiwa anawaka mkampaka mafuta ya mgongo mkidhani mnamng'arisha zaidi kumbe mnamuongezea chunusi. Ni sawa na kumdaka aslay au nandy saiv mje mtambe mmemng'arisha. Mavoko aliweza kusimama peke yake.
Kama wcb inang'arisha wasanii yuko wapi lavalava?mboso tu anahangaika sana
Mkuu,Mavoko alikuwa ameshaanza kupotea kwenye game kabla hata hajajiunga WCB 2016,Ni WCB ndio walimrudisha kwenye tasnia kwa nguvu wakambadilisha mpaka style ya mziki aliokuwa anafanya zamani akarudi kwenyegame na mziki wa tofauti kabisa ,Ngoma zake waka zipromote kwa nguvu kubwa nyimbo zikwa Hit ........Mavoko aliingia wcb akiwa anawaka mkampaka mafuta ya mgongo mkidhani mnamng'arisha zaidi kumbe mnamuongezea chunusi. Ni sawa na kumdaka aslay au nandy saiv mje mtambe mmemng'arisha. Mavoko aliweza kusimama peke yake.
Kama wcb inang'arisha wasanii yuko wapi lavalava?mboso tu anahangaika sana
Ninyi ndio mpaka leo bado mnaamini 2 PAC hajafa !
Mkuu,Mavoko alikuwa ameshaanza kupotea kwenye game kabla hata hajajiunga WCB 2016,Ni WCB ndio walimrudisha kwenye tasnia kwa nguvu wakambadilisha mpaka style ya mziki aliokuwa anafanya zamani akarudi kwenyegame na mziki wa tofauti kabisa ,Ngoma zake waka zipromote kwa nguvu kubwa nyimbo zikwa Hit ........Na mpaka kesho kama kuna kitu Mavoko alifanya kwa kukurupuka ni kuondoka WCB na kwenda kusimamiwa na genge la wahuni linaloongozwa na DOKII.
Nilichogundua kwako wewe si mpenzi wa mziki you know nothing in music industry ila umebobea kwenye uhater zaidi ndo maana anatengeneza hoja zisizo na nguvu
umeongea ukweli mtupuMavoko alikua na jina kabla ya kuingia wcb tafuta uzi watu wakimponda kwenda huko na wengi walitabiri anaenda kuua kipaji pale. Dokii ni dada yake mavoko.
Kama wcb inaikuza vipaji leo mboso angekua wa kutisha,lavalava asingeshikika,vanny kabaki mtupu baada ya harmo kutoka maana walikua na kaushindani flani. Leo andaa tamasha toa domo,weka waliobaki (bila kuhusisha akina giggy na genge lake)kama hilo tamasha litatamba najitoa JF cheiiii
kwa sasa menejimenti yake ni akina nani..?
2pac shakur is alive hautaki kaushaNinyi ndio mpaka leo bado mnaamini 2 PAC hajafa !
Hadi leo kuna MASHABIKI wa Alikiba?Hivi bado mnaamini kuwa kuna msanii atamtoa alikiba kwenye game,hilo sahau.mwendo wa alikiba ndio huohuo anakaa kimya akiludi anasepa na kijiji hicho ndio kimemfanya kubaki kwenye game mpaka leo...
hafanyi mziki kwa sababu fulani eti afanye vile nimshushe yule hapo ndio wengi walipo mshindwa.akitoa kitu utawasahau hao jirani zako kwanza ni mtunzi mzuri yaani kuandika ni kipaji ndio maana hajawahi kutoa ngoma mbovu.analijua game la bongo liko na linatakiwa liendaje.ndio maana alikiba anajulikana kwa mziki.atembelei nyota ya mtu,eti nikiwa na demu yule nitaongeza umaalufu.
Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara.
Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa mzungumzaji sana, tunajua Wasafu ni watu wa mikakati na hilo wanaliweza sana tu
Kwa nini Harmonize aondoke, Kakua..?, anaweza kujitegemea..?, Ila ni kwamba Harmonize ni Akaunti iliyokuwa inajitosheleza ili iingize kipato sasa kivipi akae na Diamond hapo hapo, Mikakati inaanza ili atoke akajitegemee faida irudi na Media zingine zianze kumsapoti pesa iingie Wasafi huku asilimia kubwa akichukua yeye
Diamond majuzi kasapoti kwa kuposti kava ya Album ya Harmonize kuaminisha mtoto hata akijisaidia huwezi kata mkono, ila kibiashara streaming na dowloads zitaongezeka pesa itakuja nyumbani why nisiposti wakati nina wafuasi wengi,
Media zingine hazichezi nyimbo zangu Diamond ila Dogo atachezwa atapata coverage na Endorsement zinajileta pesa itaingia na Air Wave majina yatakuwa ni Diamond and Harmonize na Hakuna mwingine wakuturinganisha na sisi
Tuone hili,
Diamond- A boy from tandale imetoka tarehe 14/03/2018
Harmonize- Afro East imetoka tarehe 14/03/2020
Diamond A boy from Tandale ina nyimbo 18
Harmonize- Afro East ina nyimbo 18 .
Bado hamuamini Harmonize yupo chini ya Diamond?
Mapovu ruksa, Huu ni mtazamo tu masela msijenge chuki
tayari nina mask na nnanawa maji ya sabuni kila baada ya sekunde 20Hakuna kitu kigumu kama kitu kipotee ndani ya nyumba alafu uko peke ako, dirisha halijavunjwa wala mlango, Hapo ubongo unawazaaaa ukikosa jibu baada ya Glucose kushuka chini sana, unaanza kutengeneza majibu yake huku ukiyafanya kama ndio majibu rasmi ili suala hilo la kuibiwa lisiendelee kuumiza kichwa. Tunashkuru Mtoa mada kwa mtizamo wako. #Jihadhari na Corona
tumuombee juyu bwana mdogo hari si shwariKuingia alipatia cos alikuwa teyali amepotea kimziki baada ya kuwa chini ya kingkaka baada ya kusigniwa na WCB ndo akafufuka na anatengeneza hit kibao zilizofanya vizuri Kama ibaki story, kokoro, show me n.k na akapata show nyingi Sana kosa alilolifanya ni kuondoka Wasafi bila kujipanga kuishi maisha bila Wasafi.Sasa hiv Hali yake imekuwa mbaya zaidi na inaonekana akili zimemruka baada ya kupost kwenye insta yake akikojoa kichakani
asante kwa kuongezeaWengi wasiofahamu kiundani uhusiano wa hawa jamaa ndo wataamini kuna bifu la kweli ...
Bifu lao ni la faida pande zote mbili ..ukiangalia kwa mbali Ali kiba kashatolewa kwa knock out katika kuwacompare na domo
Diamond mpinzani wake mkuu kwa sasa ni harmonize ..mwamba wa Rock star chali kama mgonjwa wa kwanza wa corona...ni sawa na maji ya glasi moja kupungizia kwenye glasi nyingine
Hivyo ufalme wanagawana wenyewe kwa wenyewe ..keki hailiwi na watu wa mbali
Haya nilisema toka kitambo mkuu na wewe umeona mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bado mnaamini kuwa kuna msanii atamtoa alikiba kwenye game,hilo sahau.mwendo wa alikiba ndio huohuo anakaa kimya akiludi anasepa na kijiji hicho ndio kimemfanya kubaki kwenye game mpaka leo...
hafanyi mziki kwa sababu fulani eti afanye vile nimshushe yule hapo ndio wengi walipo mshindwa.akitoa kitu utawasahau hao jirani zako kwanza ni mtunzi mzuri yaani kuandika ni kipaji ndio maana hajawahi kutoa ngoma mbovu.analijua game la bongo liko na linatakiwa liendaje.ndio maana alikiba anajulikana kwa mziki.atembelei nyota ya mtu,eti nikiwa na demu yule nitaongeza umaalufu.
Nyie waafrika hakuna mwafrika hata mmoja mwenye uwezo wa kugundua dawa ya CoronaHuu mda wa kuchambua na kujua idadi ya nyimbo kwa kila mmoja, ungeutumiakutafuta/ kuvumbua dawa ya corvid-19, ungekua tajiri sana.