Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

Hapo kwenye ngoma inabidi afanyie kazi, kiukweli mpaka sasa naona bado hajatoa hit ya kusumbua kitaa kama zile ngoma zake akiwa WCB.

Nafikiri kazi zitaanza sasa, maana presha ya mfukoni kidogo inaanza kupungua.
Kuna ngoma moja anayo kawashirikisha Morgan Hertage-Nakupenda Malaika,ile ngoma kibongo bongo inaweza isitoboe ila kwa soko la nje itambeba nimeshangaa mpaka sasa kwa nini hajaifanyia video.

Katoa Bedroom rmx kaiharibu OG nyimbo imekuwa kama kwaya watu kibao.
 
naona unasikia hasira unataka hata kujiua basi tumekubali domo ndio daraja la mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Write your reply...vipi yule mfalme wa kariakoo siku hizi anaubalozi gani ?


niliskia hapendagi showoff
 
Rayvanny aje nimpe deal ya kutangaza halopesa atakufa njaa yule


Sent from my iPhone using JamiiForums
Umewahi kuota kuwa ipo siku utampa mshikaji wako Brevis mpya bure bure tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…