ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Sound ipi iliobuma ? Tayari 4M viewers youtube huku mtaani unapigwa vibaya mno ile prokoto prokoto hatarHuyo unaemsema Keshajifia anatembele Kik za kurudia Idea ya Nyimbo za watu, katoa Sound Imebuma
Yope
Baba Lao, ni Idea za Watu wengine Sound Idea yake Imshapotea mtaani
Bwana mdogo anajihami mwenyewe aache uogaHainistui Lyrics – Harmonize
Intro chorus
Yaaweya, Jeshi
Konde Boy
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Kuna wenzako watakuroga , Hainistui
Au nawe ushaoga, Hainistui
Maana hunaga uoga, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Verse One
Eeeh, leo nimepata kesho nimekosa
Kazi ya mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa
Vuta subiri ngoja mungu hajakutosa
Majunga fitina na na
Sigeuze changamoto
Maneno machanina na na
Dawa ya moto ni moto
ooh nana na
Wako waliosema Konde atapotea
Konde atapotea
Jembe katia gear chogo hiyo inapepea
Chogo inapepea
Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie
Chorus
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Wenzako wanakuchukia, Hainistui
Tena wamepanga kukubania, Hainistui
Isitoshe wao ni matajiri, Hainistui
Usijali we tumia tu akili, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Verse Two
Sinanga sifa za kujisifu najua
Kila kukicha kwa mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua
Wakinifunika kesho nitawafunua
Tena waambie ee ee
Mchanga hauzikwi
Unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki
Bure utajipa kazi
Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie
Chorus
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Mwana anakula tungi mbaya, Hainistui
Yule dada anadanga malaya, Hainistui
Ataishia pabaya, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Verse Three
Ina ina ina
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoee
Wakimwona dodo na chopper
Inauma ila itabidi wazoee
Sikuhizi konde gange wanatuogopa
Inauma ila itabidi wazoee
Hamza
Kwako mwalimu kashasha
Credit: Harmonize
Sijaipenda
Siyo nzuri yaan sijaifurahia tu
Wala sina sababu, ishiiiiiii sasa sijaipenda tu kwani lazima
Sijaipenda
Ivi yule msukuma wa kwenye cheka show anaitwaga nani? Huwaga ananifurahisha sana huyo jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea Pumba tupu, Huo Mond Wako kila kukicha anatafuta Kik kwa Kiba..Kumbe na INAMA alicopy?? af na yenyewe ikabuma.???
Tz hakuna wa kumlinganisha na Mond katika swala zima la mziki. Muonekano wote wa bongofleva tangu 2009~present na kukua kwake umebebwa na Diamond Platinumz na WCB yake.Na ndio maana siku zote msanii anapata kiki zaidi pale anapotaka kuichallange WCB.Unajua ni kwanini.??? Ni kwasababu wapenz wa mziki watampa attention kubwa ili kujua ana kipi kikukwa kuliko WCB, Konde mwnyew analijua hilo ndo maana anaforce sana kuwa hasimu wa Mond.
We Kweli kilaza Kwaiyo Ubora wa nyimbo unapima You tube? Huku You tube kuna Mambo ovyo Ovyo yana Views kibaoSound ipi iliobuma ? Tayari 4M viewers youtube huku mtaani unapigwa vibaya mno ile prokoto prokoto hatar
Hivi Laizer naye ni Producer ?Wimbo ni mbaya hauna radha hauvutii kusikiliza mara mbili, nafikiri beat za Lizer zilimbeba sana.
Naiskia Mungu anakuona ya Ney kwa mbali na beat ya kingasti ya Lukas Mkenda aka Mr Nice.
Naupa 0.5/10 .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Inaumaaa ila itabidi wazoee
10/10
Wapi kina walimu kashasha
Na washindweeeWatanzania wengi wanamuombea harmonize apotee kama mavoko
Siku nyingine watu wakikusikia unasema hivyo watu watakudharau.Umeongea Pumba tupu, Huo Mond Wako kila kukicha anatafuta Kik kwa Kiba..
Ebu taja wasanii wanaotafuta Kik kwa Wcb au Unabwabwa tu kama umetapika ulimi
ukianza kuuimba chooni pia uje useme.Wimbo ni mbaya hauna radha hauvutii kusikiliza mara mbili, nafikiri beat za Lizer zilimbeba sana.
Naiskia Mungu anakuona ya Ney kwa mbali na beat ya kingasti ya Lukas Mkenda aka Mr Nice.
Naupa 0.5/10 .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya wasanii watano duniani,jeee kuna msanii hajawahi kurudia Melody?anza na Dr.Dre,Diddy,2 pac,Nas,Eminem n.kTrack ni ya ovyo plus kuiga Melody za wasanii wengine ngojea Mr nice adai hapo haki ya kazi yake ndo patakuwa patamu hapo.
Kati ya wasanii watano duniani,jeee kuna msanii hajawahi kurudia Melody?anza na Dr.Dre,Diddy,2 pac,Nas,Eminem n.kTrack ni ya ovyo plus kuiga Melody za wasanii wengine ngojea Mr nice adai hapo haki ya kazi yake ndo patakuwa patamu hapo.
Ishu Sio kurudia Melody je kunamakubaliano yamefanyika before kutumia kazi ya mtu isijeikatokea Kama ngoma yake ya uno kumuibia yule mkenya.Kati ya wasanii watano duniani,jeee kuna msanii hajawahi kurudia Melody?anza na Dr.Dre,Diddy,2 pac,Nas,Eminem n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama Mondi atampa hiyo kiki anayoitafuta. Alibahatisha Ali K wengine walie tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
Sijaipenda
Siyo nzuri yaan sijaifurahia tu
Wala sina sababu, ishiiiiiii sasa sijaipenda tu kwani lazima
Sijaipenda
Ivi yule msukuma wa kwenye cheka show anaitwaga nani? Huwaga ananifurahisha sana huyo jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app