jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Wimbo ni mbaya hauna radha hauvutii kusikiliza mara mbili, nafikiri beat za Lizer zilimbeba sana.
Naiskia Mungu anakuona ya Ney kwa mbali na beat ya kingasti ya Lukas Mkenda aka Mr Nice.
Naupa 0.5/10 .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
Binafsi nina mashaka na uwezo wake kwenye muziki, nafikiri anapaswa kutoa nyimbo kama kumi hivi ili apate hit song mojaJamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
Ila baba lao ni ujumbe tupu au siyo mipasho?Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
Wivu unahusishwa na uchawi
kweli kabisaBinafsi nina mashaka na uwezo wake kwenye muziki, nafikiri anapaswa kutoa nyimbo kama kumi hivi ili apate hit song moja
kaiskilize tena kwangwaru utapata jibuHivi Laizer naye ni Producer ?
Acheni mzaha !!
Nimekwambia mtaani unapigwa vibaya mno kijana huku , sasa kama utaki platform kama Youtube itoe taswira ya nyimbo ilivyo unataka kitu gani , labda uniambie wewe unatumia KIPIMO GANI kujua hii nyimbo imebuma ?We Kweli kilaza Kwaiyo Ubora wa nyimbo unapima You tube? Huku You tube kuna Mambo ovyo Ovyo yana Views kibao
Acha bange mkuuHivi Laizer naye ni Producer ?
Acheni mzaha !!
Niambie kwenye hiz ngoma za mondi alizotoa mwaka Jana Kuna matusi wapi? The one, inama, yope remix,baba lao, sound, na kanyaga.Mm sio mpenz wa wcb wala harmonize ila nilichogundua wcb wanateseka sana kijana harmo kufanya vitu vikubwa na hawakutarajia kuyaona haya,,mbona mond anaimba matus kila kukicha lakin watu mnasifia balaa ,ndo maana me naamin mond ni mjenz huru maana amewapumbaza mamburura kibao kila kitu ni naam /yes.kwa hapa harmo katoa ngoma nzuri kabisa japo sio shabik wa haya mambo hasa hawa wcb ,me napenda bongo fleva ya zaman tu hata ukija kwangu huwez kuta playlist za kihun namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app