Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Yani mtu hadi unachora table na kufanya hesabu kabisa😂😂
alikuwa anaogopa ujue...hata chai na chakula hajala
ndio kala usiku huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mtu hadi unachora table na kufanya hesabu kabisa😂😂
Diamond hana mpinzina tusiwe tunafananisha mizani isiyo na kiwango kimoja, rayvan apambane na harmonizeView attachment 1764073
Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni
View attachment 1764026
Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8
View attachment 1764040
Acha stori za vijiweni leta ushahidi
Maoni ya kila mtu yaheshimiwe.Diamond hana mpinzina tusiwe tunafananisha mizani isiyo na kiwango kimoja, rayvan apambane na harmonize
Maoni ya kila mtu yaheshimiwe.
Mimi ninawapenda wote na ninaona fahari kuwa Tanzania kuna vijana wana talent.Wenzangu nyie mlisoma shule ya wapi? Mtu mwenye views 3.8 kwa masaa 48 (siku 2) anamzidi mtu mwenye views 4.2 kwa masaa 24 (siku 1)?
Kabla ujaweka huu utopoloView attachment 1764073
Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni
View attachment 1764026
Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8
View attachment 1764040
Kijana wa ChitoholiYoutube ni biashara .
Domo ana kawaida ya kupromote nyimbo zake na kununua watazamaji.
Na kwakua keshakua maarufu,, ndio maana unaona Video ya Tembo ilikua imeshikiliwa na Youtub ili isivunje rekodi ya jamaa yao anayetumiaga mamilion ya pesa kwao.
Tembo namkubali leo,kesho nahata milele.
Manina huyu mmakonde amejua kuwanyoosha aisee.
Views ni pesa.Mbona unafeli sana siku hizi. Naona somo la hesabu lilikupita kushoto. Rudia kusoma tena thread ya mtoa uzi ujue amefeli pakubwa sana. Hata km unamchukia mtu ila siyo kwa kiwango hichi
Diamond katumia masaa 24 ambayo ni sawa siku 1 kupata views 4.2
Harmonize katumia masaa 48 ambapo ni sawa na siku 2 kupata views 3.8
Inawezekanaje Harmonize hamzidi Diamond?
Siku hizi mitandao imerahisisha kukutana na wapumbavu.hivi hamjui diamond huwa nanunua views
kama wale despacito nyimbo in views billion 7
Hiyo ya kununua views ni story za vijiweni ...hamna mwenye prove yeyoteYoutube ni biashara .
Domo ana kawaida ya kupromote nyimbo zake na kununua watazamaji.
Na kwakua keshakua maarufu,, ndio maana unaona Video ya Tembo ilikua imeshikiliwa na Youtub ili isivunje rekodi ya jamaa yao anayetumiaga mamilion ya pesa kwao.
Tembo namkubali leo,kesho nahata milele.
Yan mtu anayeamini kununua view ni mjinga haswa ....hakuna kitu kama hichoJamani wakati mnajadili mambo ya muziki mjue kuna watoto humu wanaaamin ujinga wa kununua views .
Makao makuu ya youtube yako los angels marekani kama sijakosea yaani tuhuma za kununa views zisifanyike na kina justin bieber huko waje kuchukua hela ya diamond wabongo akili ndogo inaa amini katika miujiza badala ya uwezo na akili.
Man, watu mashabiki aisee.. 😀😀😀Yani mtu hadi unachora table na kufanya hesabu kabisa😂😂
Unaongea unachokijua au unaongea unachokihisi..hivi hamjui diamond huwa nanunua views
kama wale despacito nyimbo in views billion 7
Huu ndio ushabiki maandazi.Youtube ni biashara .