Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Msanii yupi mwenye team nzuri ??Harmo anafanya mziki kwa gharama halafu hana team nzuri,seba hajawai fanikiwa kimziki hata band ilimfia kitambo
Babu Tale,
Sallam sk,
Walishafanikiwa kumsimamia nani mpaka akatoboa??