Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Uyu harmo lazima ampoteze daimond sio siri nakuja kasi sio kitu kidg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zenu bwana sijui uwa mnaamini mnayoyaandika.Youtube ni biashara .
Domo ana kawaida ya kupromote nyimbo zake na kununua watazamaji.
Na kwakua keshakua maarufu,, ndio maana unaona Video ya Tembo ilikua imeshikiliwa na Youtub ili isivunje rekodi ya jamaa yao anayetumiaga mamilion ya pesa kwao.
Tembo namkubali leo,kesho nahata milele.
Dimondi na wasafi wanabusti youtube views hiyo michezo walianzia hapa👇🐒🤣Akili zenu bwana sijui uwa mnaamini mnayoyaandika.
Katazame videi za akina justin bieber, uone views walionao. Yani youtube wauzie views za harmo kisa diamond?
Akina MKBH tu wanatengeneza pesa ndefu youtube kuliko hawa wasanii wetu.
🤣🤣🤣.....Nimeshangaa sana, balance sheetYani mtu hadi unachora table na kufanya hesabu kabisa😂😂
'Dimondi na wasafi wanabusti youtube views hiyo michezo walianzia hapa[emoji116][emoji205][emoji1787]
View attachment 1765107
Aaah! Kipindi hicho kweli vigumu kiba kumumpita ila Sasa hivi anavyoimba matusi asitegemee kuwa watz wote ni wapumbafu wa kushadadia matusiUkweli mchungu ni kwamba upepo anaopita nao Harmo leo ndo upepo alopita nao Kiba
Tanzania hii mashabiki damu wa Mond ni wengi kuliko msanii yeyote yule, na wale wanaomchukia Mond ni wachache kwa idadi ya kuweza kumsimamisha msanii wao mmoja ambaye ni imara wa kushindana na WCB
Wanachofanya ni kuhama kutoka kwa msanii mmoja na kwenda kwa mwingine... Wamemuacha Kiba, sahv hasikiki tena km hapo awali, wamehamia kwa mmakonde! Huyu naye pumzi zikikata watahama
Namnukuu raisi wetu Mama Samia huku nikipachika na maneno yangu
"Ngoma inapigwa na mashabiki huru, inachezwa haters wa Mond na wale minor diehard fans wa msanii husika, harafu wale mashabiki ndakindaki wa Mond ndo madj"
Ni ngumu sana kumshinda huyu jamaa... Mizizi yake ni ya mbuyu, kiangazi kinanyausha majani yake tu na si kuuua! Chainsaw makini km Clouds Media zimegonga mwamba, ndo ataweza mmakonde?
Rayvan apambane na H baba labdaDiamond hana mpinzina tusiwe tunafananisha mizani isiyo na kiwango kimoja, rayvan apambane na harmonize
PHD ni nini?Ulisoma shule ya wapi ndugu yangu? Hata km unamchukia mtu ila umezidi
Mtu mwenye views 4.2 kwa masaa 24 (siku 1) yupo sawa na mtu mwenye views 3.8 kwa masaa 48 (siku 2)?
Hii thread yako akija kuona mtoto wako lazima akudharau maana umeandika utopolo wa kiwango cha PHD
Kijana tembo anatisha mnoHamo yupo juuu
Ivi haya mambo huwa yanatokea kwa wasanii wengine tu huko wcb mbona sijawahi yasikia.....View attachment 1764073
Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni
View attachment 1764798
Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8
View attachment 1764040
DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA HIZO VIEWS MILIONI 4.2 BAADA YA MASAA 62 LEO HII MUIA YA SAA NNE ASUBUHI.
View attachment 1764809
Kwa alipofikia jamaa hana tofauti na waumini wa kakobeYani mtu hadi unachora table na kufanya hesabu kabisa[emoji23][emoji23]
Daah umeandika upumbavu mpka mpka nimeona aibuYoutube ni biashara .
Domo ana kawaida ya kupromote nyimbo zake na kununua watazamaji.
Na kwakua keshakua maarufu,, ndio maana unaona Video ya Tembo ilikua imeshikiliwa na Youtub ili isivunje rekodi ya jamaa yao anayetumiaga mamilion ya pesa kwao.
Tembo namkubali leo,kesho nahata milele.
Harmo anafanya mziki kwa gharama halafu hana team nzuri,seba hajawai fanikiwa kimziki hata band ilimfia kitamboSoon Mondi atapotezwa