Harmonize, hii 'chenchi' ya views laki 4 iwe fundisho kwako kwa mkubwa wako Diamond

Harmo anafanya mziki kwa gharama halafu hana team nzuri,seba hajawai fanikiwa kimziki hata band ilimfia kitambo
Msanii yupi mwenye team nzuri ??

Babu Tale,

Sallam sk,

Walishafanikiwa kumsimamia nani mpaka akatoboa??
 
Wakati huo bei za bando zilikuwaje?
 
Attitude na WAAH zote Ni utopolo.
Audio zote nzuri, Video zote Ni za kipuuzi hazina burudani kutazama.

Kisu kilikua lile Pini la YOPE RMX.
Video&audio vilikua bomba Sana.
 
PUMZI SOON ITAKATA ....SIZANI ATAKAMA KONDE BOY ATAFIKISHA 10 MILION
 
Oya patitude awantusho dematitudee
Oyaa patitude awantusho dematitudee

Nimekuja na ela ya mutajii eeh

Kajitahidi kiasi aongeze bidii zaid na zaidi atafika mbali.

Aendelee kujifananisha na wasafi yani kama wawe na bifu flani ivi la sivyo wakipatana atapotezwa. Kiki zitamsaidia ila zaidi apige kazi.
 
Muda mrefu Sana Mondi alikuwa Hana mpinzani..Ila sasa chamoto anakiona..kiki ya kununua private jet imebuma..kwenda kwa Zari kimyaaa.mama yake Ana mimba kimyaa..kitaa chote ATTITUDE EEEE
 
Muda mrefu Sana Mondi alikuwa Hana mpinzani..Ila sasa chamoto anakiona..kiki ya kununua private jet imebuma..kwenda kwa Zari kimyaaa.mama yake Ana mimba kimyaa..kitaa chote ATTITUDE EEEE
we jamaa unafurahisha kweli... kitaa cha wapi hiyo PATITUDE inasikika? maana huku kwetu cjawah ckia ukipigwa popote..!!!
afu kingine inaonekana hujui hata maana ya kiki, hv mtu asifanye mambo yake kisa konde katoa nyimbo? Mara ngapi anaendaga south na konde anakuwa hajatoa wimbo?

itoshe kusema hujui chochote kuhusu lifestyle ya mond, yaani we ni zero yenye negative... yeye matukio yake hayajawahi kuwa ya kutolea nyimbo hata cku moja... na cjawahi ona diamond kafanya tukio afu akaachia wimbo
 
Diamond hana mpinzina tusiwe tunafananisha mizani isiyo na kiwango kimoja, rayvan apambane na harmonize
Unaposem hana mpinzan unamaanisha nini? Tatizo lenu mmeacha kufata mziki mnaabudu watu, wewe hata diamond akirekodi ushuzi wake akauwekea biti utasema tu bonge la ngoma!
 
Unataka kutuaminisha kwamba diamond ni bora kuliko Boss ya mboka? (Koffi?) Maana hajawahi kufikisha hata views 1M ndani ya wiki.
 
Nikishalewa sitaki nigasiwe
 
πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…