Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Mkuu wewe kweli? Hata kama tunapinga haya ila mambo ya kujinasabaisha na kula ndogo ya mwanaume mwenzako ni jambo sio hata la kulifanyia mzaha.Tunawasubiri wajipake mafuta kwenye mata.core, tutawashughulikia ipasavyo
Sasa kama mtu akiamua kuwa bwabwa anafanyweje mzee mwenzanguMkuu wewe kweli? Hata kama tunapinga haya ila mambo ya kujinasabaisha na kula ndogo ya mwanaume mwenzako ni jambo sio hata la kulifanyia mzaha.
Acha porojo za mitaani, tafuta hela acha umbeyaUkipewa maisha ya wakubwa unawezaje kukataa mashalt yao? kuna muda tunaweza kusema kua mtu anapotea kumbe yupo kwenye ibada
ndio mana wasaniii wakipata hela chakwanza kununua ni Gari,
haki nasema eti nipande public pembeni kasimama huyo dogo kavaa hilo hereni..
ntajitia nataka kudondoka halafu nashikilia hilo hereni nipate balance nisidondoke,naivuta haswaa..
Wakipita utafanyeje Boss?
Hivi madigadi wanalindaga nini haswaHao mabodyguards unawapitaje hadi unamgusa
😂 😂 🙌 yan mkuu unaujinga umenizidiAnajaribu kufanya kila Diamond anachofanya kwa ukubwa.
Diamond anavaa heleni ndogo yeye kavaa kubwa.
Diamond kasaini wasanii 5 yeye kafikisha 7.
Diamond anasuka misuko 3 yeye kasuka 8.
Nk
Yan natamani nimpe mateke huyo dogo basi tu hajapita kwenye angel zangu
Hivi madigadi wanalindaga nini haswa
😁😁😁Daahh!!Anajaribu kufanya kila Diamond anachofanya kwa ukubwa.
Diamond anavaa heleni ndogo yeye kavaa kubwa.
Diamond kasaini wasanii 5 yeye kafikisha 7.
Diamond anasuka misuko 3 yeye kasuka 8.
Nk
Yani nilicheeeeeeka, nikamzoom Harmonize.😁😁😁Daahh!!
Diamond mwenyewe ile style ya hereni ameiga kwa RemaYani nilicheeeeeeka, nikamzoom Harmonize.
Nkaona kabiiisa hiki ndo jamaa anachowaza
Hahahahhahahhahaha mmakonde tu namuonea hurumaAngel zako au sio ??
So Harmonize kaiga zaidi.
Sosi Don Clericuzio
Unasuka ili iweje ewe mwana wa.com?Binafsi nasuka ila hiyo hapana
Unasukwa? Na nani? Bi mkubwa wako?. Hilo sasa cjui ukweli ila toka nikiwa mdogo nilikuwa nasukwa mpaka leo
Is you is you?[emoji15][emoji15]Tunawasubiri wajipake mafuta kwenye mata.core, tutawashughulikia ipasavyo