Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Sijui wanafanya makusudi au la! miandiko yao haifai hata kidogo inaumiza macho mpaka nafsi
 
Ila sepenga nikimuangalia nacheka sana na chibaba wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo celebs wanatuongezea sana siku za kuishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe huwa hucheki kama mimi...
Ila wamedumu wenyewe...
 
😁😁Huwezi elewa mkuu
Kila nikiangalia Instagram sioni tena wachezaji naona screen shot za harmonenga najitahidi nielewe lakini waapi kila screen shot inaonesha kama inajitegemea na venye haielewek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…