Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa next level music Ray-vanny ,

Harmonize kupitia instastory amewashauri wasanii waachane na nyimbo za kusifia pombe , pamoja na kucopy amapiano ambazo hazina ladha badala yake watengeneze hitsong bila masuala ya pombe kwani wanywa pombe ni wachache kuliko wasiokunywa , na hvyo ni ngumu Kwa nyimbo kwenda long mileage,



Bila kupoteza mda Ray-vanny kupitia instastory amemshukia vikali Harmonize na kujieleza kuwa akae Kwa kutulia Kwan Hana hitsong yyte ya pombe so Hana haki ya kubwabwaja ......



Bila kupoteza mda konde boy naye akamshukia vikali kijana wa mbeya na kumsihi apunguze chuki kwani yeye mbali na kusababisha rungu lake kubwa kusambaa Kwa wanazengo anatakiwa atambue kuwa yeye alitoka na jimama la haja wakat yeye akihangaika na kibinti 😁



Hata hvyo harmonize amemwambia Ray-vanny kuwa anampenda na hvyo ajiandae kusikiliza mziki mzuri Ijumaa , huku akimsihi Ibra asijibu chochote


Note: Bifu ndo linachangamsha mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…