Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

Online streaming unazohadithiwa kwa sasa zimebuma toka ametangaza kutoka wachafu, halafu kuboost ndio unaona imekuja colaboration na boss wake lakini kiuhalisia harmo kaweza kusimama na kuzoa kijiji chake wakati vanilla hana kijiji wala mtaa wake huo ndio ukweli, product gani vanny kasimama peke yake toka atangaze kutoka wasafi imetoboa?
Angalia nan anazurura international, huko kote dogo anazoa lot of dollars sio show za humu vijijini , unasimama kwenye mathearter ya Dubai , harmo anazurura tuu humu , workhard hata hela Hamna , wala haihtjai mabishano kwenye hili
 
Nilichogundua kwenye jamhuri ya jf mmakonde mwenzangu hafagiliwi sana...ila kwenye jamhuri ya Instagram na mitaani kondeboy ana nguvu zaidi ya serikali. Uchukue huu ukweli au uukatae utajua mwenyewe.
Uo Ndio Ukweli
 
Online streaming unazohadithiwa kwa sasa zimebuma toka ametangaza kutoka wachafu, halafu kuboost ndio unaona imekuja colaboration na boss wake lakini kiuhalisia harmo kaweza kusimama na kuzoa kijiji chake wakati vanilla hana kijiji wala mtaa wake huo ndio ukweli, product gani vanny kasimama peke yake toka atangaze kutoka wasafi imetoboa?
Nachopenda hauko upande wowote unasimama na ukweli,vanny boy Toka atoke wasafi hamna kitu na Mpk mwakani atakua no.6 Huko ila konde ameweza kumantain Kwa kweli hongera zake
 
Vanny bilioni hana hata kama alielezwa atoe hiyo ni nadharia maana hata akaunt zake ikiwapo ya youtube bado ziko controlled na wasafi hadi leo na label yake aliewekeza pesa ndefu ni pastor wa marekani mwenye asili ya zimbabwe mengine ni story tu za kisanii
Watu mna data aseeh
 
Ni sawa na mtu aamini harmo kasimama peke yake wakati ile ni biashara ya jembe kwa asilimia kubwa
Kuna mkataba VANNY alisaini na Ziiki media baada ya kujitoa wasafi wa dollar million 5..vipi unasemaje nalo lilikuwa ni changa la macho au?
 
Back
Top Bottom