Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

Wewe mkuu kwa akili yako unaamini anaweza kulipa B????kuna mambo hupaswi hata kutumia miwani kujua.

Mkuu Billion hela nyingi sana,jaman tuache masihara ndugu zangu
Kama huamini amesema nenda basata , ukashuhudie waliburuzana na diamond mwenyewe , na imemgharimu Sana Ray-vanny kutoka ,
 
Wewe mkuu kwa akili yako unaamini anaweza kulipa B????kuna mambo hupaswi hata kutumia miwani kujua.

Mkuu Billion hela nyingi sana,jaman tuache masihara ndugu zangu


Mkuu hapa zimetajwa bilioni za madafu. Usitishike na hizo zero zero ndefu, convert hiyo pesa kuwa foreign currency ndio uone mazingaombwe. Shilingi zetu za kitanzania ni adakadabra tupu
 
Rayvan anaonekana ana depression sana.
Halafu mtu akishakuwa msanii huyo usimuamini kabisaa. Huyu Rayvan majigambo mengi ambayo sio uhalisia kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rayvan bila kufanya collabo na Diamond hana tofauti na Bonge la nyau

Kwenye uimbaji vanny asimame peke yake na mvuta bange peke yake, kilandage anamtoa vanny mapema tu hilo hatubishi
 
Kwenye uimbaji vanny asimame peke yake na mvuta bange peke yake, kilandage anamtoa vanny mapema tu hilo hatubishi
Halina ubishi kwenye paranawe rayvan alifunikwa mno
 
najiuliza tu sipati jibu, nani kafaidi zaidi, aliyekula mama ama mtoto ?
 
Hawa jamaa kila mmoja ana taste yake, vanny kuna wimbo wake wa stay na number one aisee huwa sichoki kuzisikiliza,harmonize nae kuna Ile nideke na mwenyewe hizi kwangu ni pini sana..
btw vijana wanajitahidi kuimba ila hapa kwasasa wanatunishiana tuu misuri kwa ajili ya fame na bifu zao za kugombania kale kabinti
 
Sijawai muelewa harmonize hata kidogo
Kwenye point kaweka point amezungumzia Pombe, Mimi nipo upande wake kwenye hilo la pombe nimekuelewa Harmonize

R.I.P wadau wote waliokufa sababu ya Pombe, see you mawinguni

Pombe ikikolea mtu huanza mabishano yasiyo na sababu, ghafla ugomvi unazuka, ghafla unapoteza heshima yako uliyopewa mda mrefu sababu ya pombe,
 
Hawa vijana wakumbuke kununua mashamba na kupanda minazi huko vikindu na kisarawe waambiwe ukweli uzee upo.
 
Mimi nikionaga JITU TIPWATIPWA najua kabisa HALINA AKILI.
 
Harmonisé huwa anaakili ndogo kupambana n'a rayvann atavunjika mguu
 
Back
Top Bottom