Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

Mim sijaelewa hawa vijana wa usafin na umakondeni wanaimba nini..bora kuna kijana kaimba 'pita huku'kidogo kanishawish kumsikiliza
 
Duh! Your aged?
 
Sasa hyo bilioni 1.3 analinganisha kwa milioni 600 kwa kuangalia nini?
Muda waliotoka kwny label?
Thamanni ya video alizotoa akiwa kwny label mpk anatoka
Dollar inapanda kila uchwao yy katoka lini na Harmo katoka lini?

Rayvanny akubali tuu hana damu ya kupendwa na kuwa recognised kama Harmo..na hyo BET yake still ni kama underdog tuu mpk ufunue mafail...
Baada ya Dimond ni Harmonise kwa ushawishi...ukitaka chukua
 
FB_IMG_16740454599390550.jpg
 
Nilichogundua kwenye jamhuri ya jf mmakonde mwenzangu hafagiliwi sana...ila kwenye jamhuri ya Instagram na mitaani kondeboy ana nguvu zaidi ya serikali. Uchukue huu ukweli au uukatae utajua mwenyewe.
Sababu ni kwamba JF ina watu wenye uwezo wa kuchanganua ukweli tofauti na Instagram kulikojaa crazy senseless fanatics, wengi wetu humu hatuna account Instagram wala Facebook.
Twitter ni bora sana kulinganisha na huo ujinga(Instagram) uliojaa utoto mwingi.
 
Sasa hyo bilioni 1.3 analinganisha kwa milioni 600 kwa kuangalia nini?
Muda waliotoka kwny label?
Thamanni ya video alizotoa akiwa kwny label mpk anatoka
Dollar inapanda kila uchwao yy katoka lini na Harmo katoka lini?

Rayvanny akubali tuu hana damu ya kupendwa na kuwa recognised kama Harmo..na hyo BET yake still ni kama underdog tuu mpk ufunue mafail...
Baada ya Dimond ni Harmonise kwa ushawishi...ukitaka chukua
Sio Ali kiba tena, anyway Kwa ushawishi Sawa kabisa Ila harmo hakutengenezewa mirija ya kupiga pesa kama Ray-vanny, harmonize ana swaga Sana na anapambana Sana , na ana ushawishi kuliko mnyakyusa but dogo wa mbeya mirija ya pesa Iko strong kuliko harmo...anatengeneza fedha
 
Online streaming unazohadithiwa kwa sasa zimebuma toka ametangaza kutoka wachafu, halafu kuboost ndio unaona imekuja colaboration na boss wake lakini kiuhalisia harmo kaweza kusimama na kuzoa kijiji chake wakati vanilla hana kijiji wala mtaa wake huo ndio ukweli, product gani vanny kasimama peke yake toka atangaze kutoka wasafi imetoboa?
 
Back
Top Bottom