wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kijiji Cha itogwang'olo,Tanganyika mkuu.Iv mkuu uko mkoa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiji Cha itogwang'olo,Tanganyika mkuu.Iv mkuu uko mkoa gani
Ni pipa na mfuniko wake mkuu.Hawo ni akina nani mimi siwajuhi, watu mnahohishi Daslamu mnatuchanganya sisi tunahotoka uku mikohani.
Wakizidi kuparuana yeye pia anapata mileageWakulaumiwa hapa Ni diamond
Katuletea vijana wa hovyo sn kwny jamii[emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji Cha itogwang'olo,Tanganyika mkuu.
Bushinabulandi mkuu.Upo iringa sio
Jamaa anaimba matusi kinoma alaf anawaambia wenzake wasiimbe pombe , ni mara Mia uimbe pombe kuliko matusi ya Leo na kutooo.... Amelowa ...... N.kJuzi juzi hapa katoka kuimba ngada, leo anazungumzia watu wasiimbe pombe. Jamaa anadata
Hivi uyo wakazi anaimba nini? Au ni mchambuzi wa maswala ya muziki?Tushawachoka,ila kama kawa lazima Wakazi atachambua na hili.
Diamond katengeza masupastaa ambao hakuna aliyewahi fanya hivi before.Wakulaumiwa hapa Ni diamond
Katuletea vijana wa hovyo sn kwny jamii[emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mnawapa attention kama ni vijana wa hovyo ?Wakulaumiwa hapa Ni diamond
Katuletea vijana wa hovyo sn kwny jamii[emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mahaba sanaRayvanny ni smart sana.
Kuna watu wanamchukia Rayvanny sababu hamtukani diamond wakati kalipishwa [emoji23][emoji23]
Hish XMnatukosea tunao hish dar mbona huko mikoani wapo sema sio maarufu