Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

Angalia nan anazurura international, huko kote dogo anazoa lot of dollars sio show za humu vijijini , unasimama kwenye mathearter ya Dubai , harmo anazurura tuu humu , workhard hata hela Hamna , wala haihtjai mabishano kwenye hili
 
Nilichogundua kwenye jamhuri ya jf mmakonde mwenzangu hafagiliwi sana...ila kwenye jamhuri ya Instagram na mitaani kondeboy ana nguvu zaidi ya serikali. Uchukue huu ukweli au uukatae utajua mwenyewe.
Uo Ndio Ukweli
 
Nachopenda hauko upande wowote unasimama na ukweli,vanny boy Toka atoke wasafi hamna kitu na Mpk mwakani atakua no.6 Huko ila konde ameweza kumantain Kwa kweli hongera zake
 
Watu mna data aseeh
 
Ni sawa na mtu aamini harmo kasimama peke yake wakati ile ni biashara ya jembe kwa asilimia kubwa
Kuna mkataba VANNY alisaini na Ziiki media baada ya kujitoa wasafi wa dollar million 5..vipi unasemaje nalo lilikuwa ni changa la macho au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…