Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz


Na shida ni wale kina Salaam wale ndo mambwa kabisa wale tena wale hata Diamond wenyewe hawampendi baasi tu wanaishi nae kinaafk...walimtoa ruge kwenye ramani ili wabaki nae wao tu kimaslahi zaid,wanataka atawale milele peke yake kimziki kitu ambacho hakiwezekani.

Hizi kelele ndo zinazidi hizi sio kua zinaanza zitafika mwisho siku si nyingi hata kama miaka5 ijayo.

Ingawa kwa sasa team Mondi hawataelewa, watakuja kuelewa siku akitoka msanii mwingine pale WCB kinachofanya wengineo wakae kimya wanaogopa kupoteza ushosti na kualikwa kwenye Ep za wasafi tu ila LA kuvunda halina ubani!
 
diamond ni mwizi na ana roho ya kinafki
kama mlivyo mashabiki wake

kama hutaki basi rafiki zake wa mwanzo alishagombana nao kina ommy sheta

akili za kitandale zinamsumbua
Roho ya kinafiki ipi 40/60,unasema unaibiwa haya yy mwenye roho anawapa wasanii wake ngapi.
 
Humjui diamond vizuri endelea kumtetea ila yule jamaa ni mafia kweli kweli
 
nimechoka kubishana ujinga
mbona basi alipokosa tuzo za kili je kina mange hao waliwashikia.kura mashabiki wasimpigie kura diamond nchi nzima?

unachoongea ni nonsense
 
Ila watanzania tuna shida sana, unamshangaa harmonize kwa lipi English sio first language kwake, hatakama anaimba broken ameonyesha uthubutu

Kukosoa kila kitu ndo kunawapa uoga hata watoto wetu kujaribu wakijua wakikose watakutana na mashambulizi ya kukoselewa tuna jamii ya ajabu sana
 

Umeongea vitu vya msingi haswaa...afute ubaya wa Mondi aangalie mazuri yake tu!

Ila harmonize nae kachoka jamani kupigwa vijembe kila siku Mara kibonge, Mara ukuti ukuti, Mara njomba nchumali n.k Mara anakula mihadarati.

Mondi ni mswahili sana ingawa kimziki yuko juuu haswaa hatukatai na amefanikiwa mnoo!!!
 
Shida nadhani gharama kubwa za bando,hawajapata kumsikiliza harmo.
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]daah!!!na hatusikilizi ng'oo u tube mb200 natoa wapii....!!!
 
Je mtu kusema yake ya moyoni ndio kigezo cha mziki kumshinda?

Sidhani kama uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia kikomo na kufikia hilo hitimisho eti muziki umemshinda.
Nakuhakikishia personal harmonize ana maisha mazuri kuliko watu wengi walioko jamiiforum

Alafu yeye mziki kumshinda mziki ni sehemu ya maisha sababu sio wa kwanza mziki kumshinda
 
Mondi ni mswahili haswaa, kwani yeye hamjui, kipindi yuko wcb si aliona kilichokuwa kinamsibu ali kibakuli.

Mmakonde ni msanii mzuri, wasiwasi wangu ni kama anaweza kujiendesha kibiashara na kama pia anaiweza vita ya kibiashara. Diamond yuko smart katika vitu hivi, mmakonde anasafari mdefu kidogo, lakini anajitahidi anatoa ngoma tamu ni vile watu wako kwenye masuala ya utimu.
 
Mimi Lava lava nakatwa asilimia tatu na hata sjalalamika.
Sasa kama unakatwa 3% Ina maana we unachukua 97%?

Lavalava hata akikatwa 99% asilalamike maana ni sawa tu na msanii anayepambana kutoka
 
Kile kipindi ambacho Mo aliongea shit kwenye video conference ya chama, mimi sikukubaliana na ishu hiyo eti kwakua yeye ni tajiri basi ugomvi wake yeye na manara anataka iwe hivyo hivyo na kwa wachezaji eti kwakua yeye ndio anawalipa mishahara

Na ndio maana magufuli alisema kwenye utawala wake tajiri anaweza kufanywa chochote, na jamii ilishangazwa kwasababu haikua kawaida kuona tajiri akiwajibishwa

We must stop being asskissers, mtu asemwe madhaifu yake bila kujali wadhfa wake, hii tabia ya kuona watu waliosaidiwa na matajiri wao kua ndio wenye wajibu wa kuwa wanyonge hata pale ambapo wanaonewa dhana hii ina mentality ya kitumwa
 
Roho ya kinafiki ipi 40/60,unasema unaibiwa haya yy mwenye roho anawapa wasanii wake ngapi.

Ndio tatizo la wabongo unakomment kitu wakat undani wake hujui ,Ni wapi harmo kasema anaibiwa?

Yeye alikubal kiroho Safi hiyo 40 na kapambana Sana awe sawa na mond Ila mondi akawa kiburi ,issue ya harmo Wala sio hiyo 40, nenda kasikilize interview alafu uje kukoment upya, ushabik utawaua nyie wanaume wa dar .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…