Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Funga kazi
 
Diamond sio mkunjaji bali vita yake kapigana mwenyewe hamna msanii aliye msaidia wa kumtetea kipindi ambacho apewi airtime na radio tatu.

Leo Diamond bila kuwa na roho ngumu, mziki angekuwa kishaacha kama Suma G na Ramadee.
Umeongea point nzuri Sana kipindi diamond anapigwa vita na media house hapa nchini, alikosa mtetezi bora hata mmakonde anapata sympathy ya mashabiki wake.

Lakini ana roho ya korosho kama yetu watu kigoma, manyimbo yake yamejaa diss, kejeli na kujitutumua ndio maana anaonekana kituko kupigana na kivuli chake mwenyewe
 
Diamond sio mkunjaji bali vita yake kapigana mwenyewe hamna msanii aliye msaidia wa kumtetea kipindi ambacho apewi airtime na radio tatu.

Leo Diamond bila kuwa na roho ngumu, mziki angekuwa kishaacha kama Suma G na Ramadee.
Kwahiyo yeye ni Papa sawa
Iweje amkunjie dogo samaki Harmo? Nini kama sio roho ya kukunja? Harmo ana effects gani kwake?
 
Kwahiyo yeye ni Papa sawa
Iweje amkunjie dogo samaki Harmo? Nini kama sio roho ya kukunja? Harmo ana effects gani kwake?
Kamkunjia vip,sasa hivi yupo free habanwi, anapata airtime ya kutosha Clouds, EFM, EATv ambazo Diamond hapati, sasa ana mkunjia vipi.

Kama anajiona hasongi mbele awaulize anao wa manage, Diamond kajitengeneza system yake mwenyewe na watu wake kusukuma kazi zake, baada ya kutengwa na media pamoja na wasanii wenu.
 
[emoji16][emoji16]kama ipo IPO tu kwa maadili gani aliyonaya diamond!! Hebu hukooo
 
Huyu kibwengo kweli tulijua hao nyoko vibwengo akina kusaga wameshiriki kwenye fitina, huyu kidampa akili matope kabisa, alikuwa sisimizi tu huyu tena akiwa mchafu kama zombi. Hata ujitetee vipi mmakonde huaminiki na umedhihirisha kwa vitendo na upopoma wazi.
 
Kamkunjia vip,sasa hivi yupo free habanwi, anapata airtime ya kutosha Clouds, EFM, EATv ambazo Diamond hapati, sasa ana mkunjia vipi.
Mbona unakwepa kwepa rejea interview hiyo yaliyongelewa au huna bando?πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸΎ
 
Shida walidhani baada ya kutoka WCB dogo atafeli but he proved then wrong...totally completely ndo kinawauma...hatusemi kondeboi ana mafanikio kuwazid WCB wote but anajitahidi na yuko kwenye ramani za mziki pia!!wanasema hakijulikani anachoimba...huku wanakoti songi zake!

Yeye apambane tu Atafika ingawa sio kama kwa Mondi but he can sustain for living
 
Hizi Story zimepitwa na wakati si mlisema hatomaliza mwaka nje ya hiyo lebel ya majizi?

Huu ni mwanzo tu endeleeni kujipooza hivyo hivyo
Uwe unaelewa basi mbona kichwa ngumu hivyo.

Mziki ni vita kwa sababu kuna ushindani mkubwa sokoni, dogo kutoka kwenye macamera na kuanza kulia ni dalili ya kushindwa bro, mmakonde ni kiongozi wa label anaanza kulialia, nampa credit diamond coz anajua mbinu nzuri za kufanya fitina yaana king'ata na kupuliza , acha ushabiki maandazi toa ushauri na maoni sio kujiaminisha
 
Harmonize mwenyewe nilikuwa namdharau sana, ila baada ya interview ya leo, kisha nikaunganisha na interview ya Ommy Dimpoz naye kuhusu Diamond..
Harmonize yupo smart sana
 
Mbona unakwepa kwepa rejea interview hiyo yaliyongelewa au huna bando?πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸΎ
Ni rejee nini mimi nimemsikiliza, sijaona alipo kunjiwa upo free una kunjiwa vipi,fanya mziki then acha number ziongee na si kelele.
 
Hizi Story zimepitwa na wakati si mlisema hatomaliza mwaka nje ya hiyo lebel ya majizi?

Huu ni mwanzo tu endeleeni kujipooza hivyo hivyo
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]ahsante studioo!
 
Kinawauma kipi?
 
Povuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]!!!mnateseka wamanyema,waha na wanyaki mkiwa wapii?!!![emoji125][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]!!
Kondeboi for everebodeeee!!!
 
Hahaha mbona hata wewe una bias na matajiri, acha nongwa tajiri kupambana kuzipata tafta na wewe zako utambe. Kuwa neatral ujenge hoja inayoeleweka kama ni ushauri au maoni
Kwa hiyo mtu yeyote anayekwenda kinyume na mwenendo wa tajiri ubongo wako unatafsiri kua mtu huyo amesanda?
 
[emoji16][emoji16]kama ipo IPO tu kwa maadili gani aliyonaya diamond!! Hebu hukooo
Acha kujifanya mjinga basi wakati ukweli unaujua kuwa mziki ni biashara nzuri tu ndio maana kuna chuki na visasi.

Nampa credit diamond anajua namna ya kufanya hujuma huku akiendelea kulinda celebral character yake. Alichokiongea harmonaize sio wote watakaoamini hivyo anajishusha ni kama vile anaomba amani vita imemzidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…