Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Na vipi kuhusu yule Mzee mwenye nyumba yake Mbezi Beach anasemaje kuhusu deni? Au anatumiwa na Diamond?
 
Mdogo wangu mimi ninaongea kitu ambacho nina ufahamu nacho, sasa kama mziki ni vita jamaa karusha kombora limewapata ugulieni kimya kimya, wasubirie mengine yanakuja mpaka tumalize huu mwaka huyo junk wenu anaweza kuwa korokoroni

Unamyonya mtu kisha unamchuna 600M, that hard young bro..
Machawa huwa mnachekesha, sasa huyu Mmakonde kuvuta bangi na kurusha clip mtandaoni mnamuona zinamtosha?
 
Kaka BIASHARA na huruma ni vitu viwili TOFAUTI.
Hebu pata picha umengekua ni wewe?
Umemtengeneza mtu, grom zero to hero,!
Ume wekeza fedha nyingi kwake ,
Kisha aamue kuondoka ukubali tu nenda!!
Anakuja mtu mwingine una mtengeneza anaiva anaondoka,anakuja mwingine na mwingine je utakua wap!?
Kazin kwangu nme sign mkataba nlipewa muda wakuusoma nkakubali nka sign
Nimeambiwa nkitaka kuvunja ntalipa 3times 1 ya mshahara wangu! Na wao wakitaka kuvunja kuna hela watalipa
Siku nikivunja ntatakiwa kwenda sehemu kulalamika?
Kawekeza nyimbo 9 na video 9 tuu kati ya 59 alizofaidika nazo...count that
 
Huyu mziki ushamshinda,album inafanya vibaya.

Sasa Diamond kama angetaka kila siku kuwa yy.

Kaanzisha lebo ambayo imemtoa yy.
Kampeleka nje kufanya video kubwa.
Kamkutanisha na wasanii wakubwa Africa.
Kamtoa Rayvanny mpaka kufikia hatua ya Colabo na Maluma na kuchukua BET,Tz hii Rayvanny ndiye mwenye nyimbo yenye streams nyingi, kapiga show jukwaa la essence, mafanikio ambayo Diamond hajawahi kuya fikia.

Angeamua kuto kuanzisha label tusinge mjua na Diamond ni mfanyabiashara, always ana angalia faida na label zote duniani zina angalia faida, hata yy na JembeniJembe wanaangalia faida.

Yeye mwenyewe kuimba aliambiwa hajui, Diamond kakaa nae zaidi ya miaka mitatu, akimfundisha na kumpika kimuziki na kuna watu walimwambia hajui kuimba ila Mondi hakukata nae tamaa, kula,kuvaa na kulala kwa Diamond.

Anadai WCB walikuwa wana muogopa yy, haya leo zaidi ya miaka miwili nje ya WCB, yupo yy peke yake,free habanwi je kafika wapi,kampita Diamond?Anapata airtime ktk media zote kubwa zilizo kuwa hazipigi nyimbo zake.

Halafu haja tuambia wasanii wake wanapata kiasi gani, mikataba yao miaka mingapi,wana miaka miwili hawa heleweki wanafanya nini.
Sawa mla ngada
 
Hapa umeandika haujamsikiliza Harmonise, una majibu yako, na haujataka kujiweka nafasi ya harmonise!!!!!!!!!!!

yaani wewe umezidi viwango vya chwa, ushiga na mahaba!!!! umepitiliza

Na kibinadamu sio ajabu kukuta kuna magoli yanatoka kupitia mikono na yanaishia na sabuni bafuni; kuwa liliingiaje kwa mama yako ndio tunashangaa!!!...
 
Utimu unaharibu sana Sana'a...akina Barnaba wameishia njiani,aslay n.k Marioo yaani anaumiza kichwa sana majimbo yake kama angekua wasafi angekua juu zaidi....!!
Mi nashabikia mziki mzuri utimu sinaga Mimi!
Na baba Zuu ajipange haswà sio kipolepole mpk atoboe!
Kuna baadhi ya ngoma kama angefanya akiwa wasafi zingekuwa nyimbo za taifa.
 
Hapa umeandika haujamsikiliza Harmonise, una majibu yako, na haujataka kujiweka nafasi ya harmonise!!!!!!!!!!!

yaani wewe umezidi viwango vya chwa, ushiga na mahaba!!!! umepitiliza

Na kibinadamu sio ajabu kukuta kuna magoli yanatoka kupitia mikono na yanaishia na sabuni bafuni; kuwa liliingiaje kwa mama yako ndio tunashangaa!!!...
Nimeisikiliza Sam Misago ,sijui labda ww mahaba yako kwa Konde.
 
Acha kuongea kwa mihemko bro, harmonaize ni product ya diamond hilo liko wazi na kama aliamua kutoka kwenda kujitemea ni Jambo nzuri tu maana yake anajikomboa. Mziki ni vita kubwa sio kipaji tu ndio maana leo mwamba analia kufanyiwa fitina. Ommy dimpozi simpi credit amekaa kama demu hana muonekabo wa kiume( musculinity) anaweza kuwa anafirwa ila harmonaize Muoga mtu anaetafta sympathy namdharua sio askiri kwenye medani za vita
Sawa hata maandishi yako nakuona wewe kama choko tuu nipo sawa?by perception
 
Wewe huna tofauti na Mama levo, hawa watoto hata wawe na pesa kiasi gani siwezi kujitowa akili na kuwa chawa.

Tunakoelekea mtapigwa bolo.
Unajua wewe jamaa nilisha ku ignore tangu 2013 yani nikiona umeandika ninavuka...usini quote upuuzi wako kwa sababu ubongo wako umejaa minyoo, kiufupi hauna akili, wewe ni taahira fulani hivi. I changed my id hata havyo don't bother to search
 
Huyu jamaa anapenda kutafuta sympathy tu in public ila jamaa ni mpuuzi cjawai ona wewe sheria inayo govern literally and artistic work tz inaeleza haswa kabsa kama mtu yupo kwnye mkataba na akaona kua mkataba unamnyonya zaidi na anachoingiza anaeza Ku revise iyo contract na kuweka makubaliano baina ya pande mbili zote na ikishindikana basi ukivunja mkataba kama uyu ngombe harmo ni lazima ulipe tu na pia mpka unaingia mkataba si unaona kbsa asilimia 40 umepewa kama hutaki si uache mbna alikubali sasa afu anakuja kutueleza upuuzi
 
IMG_20211118_233424.jpg
 
Back
Top Bottom