Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Kinawauma kipi?
Kinawachonyotaa mlitaka afulie kama Mavoko nyie chawa wa WCB mnaumwa na maboss wenu ..!!dogo hajafika hukoo ila anajikongoja mdogo mdogo habari hapati!

Mmakonde wa Chitoholi,Tandahimbaaaa..Ntwaaara 1 hyooo!!
Nawaambia mtasanda tuu!!mumuache baba Zuu!
Kama Kigoma kuna Ziwa Tanganyika sasa Mtwara kuna Bahari ya Hindi..Kote kuna maji...[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]ukisogea Msumbiji..Kigoma ukisogea Congo...

Kama Mondi anajua kuroga kwa mbele basi Harmo ataroga kwa nyuma![emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1]Vinaumanaa tyuuu!!!
 
Acha kujifanya mjinga basi wakati ukweli unaujua kuwa mziki ni biashara nzuri tu ndio maana kuna chuki na visasi. Nampa credit diamond anajua namna ya kufanya hujuma huku akiendelea kulinda celebral character yake. Alichokiongea harmonaize sio wote watakaoamini hivyo anajishusha ni kama vile anaomba amani vita imemzidia
[emoji1][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]nyie waha ubishi kawaida yenu siwawezi Mimi!alijiharibia Diamond kudhalilisha wanawake na bado anapata madili 24/7...!!!
MPE tu Credit ndugu yako ila haipingiki kua ana roho mbayaaa...

Mmakonde kabinya kendee!![emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vimeumana tu mjini hukoo!
 
Kwani hiki ndio anasema kilimtoa wcb!?

Kuna kauli mmakonde kamwambia mondi
"Bro haina haja ya kuumiza kichwa hata nifanyaje yako 60, mie yangu 40, usisikilize maneno ya watu"
Hapo inaonesha mjomba nchumali aliridhika na hiyo fote yake, au mimi sijaelewa vizuri?
Mi sijasikiliza kitu niliandika kwa kusoma hapo juu.
 
Kwa hiyo mtu yeyote anayekwenda kinyume na mwenendo wa tajiri ubongo wako unatafsiri kua mtu huyo amesanda?
Inategemea unaenda vipi kinyume, hata Mungu hachukui vilivyo vinyonge ndio maana harmonaize ana hamu kuupindua ufalme wa diamond atambe akitwangwa misumari anapiga mayowe kumwaga machozi , hii ni dunia ya ubepari mwenye nguvu ndio anatawala mnyonge anapisha njia
 
Uwe unaelewa basi mbona kichwa ngumu hivyo. Mziki ni vita kwa sababu kuna ushindani mkubwa sokoni, dogo kutoka kwenye macamera na kuanza kulia ni dalili ya kushindwa bro, mmakonde ni kiongozi wa label anaanza kulialia, nampa credit diamond coz anajua mbinu nzuri za kufanya fitina yaana king'ata na kupuliza , acha ushabiki maandazi toa ushauri na maoni sio kujiaminisha
Unaijua hii move alioifanya harmonize inamvusha wapi?na side effects ni zipi kwa huyo bwana ako?yeye ameshawahi kutoka mara ngapi kwenye ma camera kulia lia? Hapa harmonize ka set record straight!

Ali mbully ommy dimpoz kuwa anafirw@ mpaka ommy akaweka wazi kuwa kamshamtomba mama yake jamaa, that was a hell of a defeat, na kuanzia hapo akamkoma dimpoz, tulieni na huyo junk wenu anayofanyia wenzake ni makubwa
 
Wengi wenu mliokoment humu hamjamsikiliza mmakonde, kwenye hiyo interview/press sijui hata niiteje, mana imechukua takribani lisaa limoja, na kwa changamoto ya bando kwa sasa na jua hili lililoshuka mpaka juu ya bati wengi humu mmesoma tu uzi na kukoment, hebu msikilizeni mmakonde kwanza kwisha mrudi kukoment, sio shabiki wa diamond wala mmakonde isipokuwa, mnyonge mnyongeni.

haki yake mpeni
 
Inategemea unaenda vipi kinyume, hata Mungu hachukui vilivyo vinyonge ndio maana harmonaize ana hamu kuupindua ufalme wa diamond atambe akitwangwa misumari anapiga mayowe kumwaga machozi , hii ni dunia ya ubepari mwenye nguvu ndio anatawala mnyonge anapisha njia
Mungu wa dini gani huyo anayefata meza yenye bia nyingi?
 
Unaijua hii move alioifanya harmonize inamvusha wapi?na side effects ni zipi kwa huyo bwana ako?yeye ameshawahi kutoka mara ngapi kwenye ma camera kulia lia? Hapa harmonize ka set record straight! Ali mbully ommy dimpoz kuwa anafirw@ mpaka ommy akaweka wazi kuwa kamshamtomba mama yake jamaa, that was a hell of a defeat, na kuanzia hapo akamkoma dimpoz, tulieni na huyo junk wenu anayofanyia wenzake ni makubwa
Mashabiki maandazi wamejua mitandao juzi tu hapa...na alimtia na mimba juu!akaenda kutoa mama Dai[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]!!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]umepasua yai mi nilikua nasubiri mtu aanze!
Diamond sema ana kismati mavi yake hayanuki ya wengineo shuzii kuubwaa!
Nashukuru kaka wolf umemaliza mi ngoja nende zangu kulala hapa!!!
 
[emoji1][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]nyie waha ubishi kawaida yenu siwawezi Mimi!alijiharibia Diamond kudhalilisha wanawake na bado anapata madili 24/7...!!!
MPE tu Credit ndugu yako ila haipingiki kua ana roho mbayaaa...

Mmakonde kabinya kendee!![emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vimeumana tu mjini hukoo!
Kwenye vita hakuna usalia mtume, diamond sio malaika, anachosema harmonaize ndio ukweli huo sijabisha ila point yangu ipo clear harmonaize ame surrender vita mpaka kijitokeza mbele ya macamera kumwaga upupu ili ahurumiwe.

Apambane kiaskari au amezidiwa mbinu za medani
 
Armonize Anapoimba vizuri sasa hivi ni nani amemsaidia? Diamond ni mshenzi Tu.
Huyu mziki ushamshinda,album inafanya vibaya.

Sasa Diamond kama angetaka kila siku kuwa yy.

Kaanzisha lebo ambayo imemtoa yy.
Kampeleka nje kufanya video kubwa.
Kamkutanisha na wasanii wakubwa Africa.
Kamtoa Rayvanny mpaka kufikia hatua ya Colabo na Maluma na kuchukua BET,Tz hii Rayvanny ndiye mwenye nyimbo yenye streams nyingi, kapiga show jukwaa la essence, mafanikio ambayo Diamond hajawahi kuya fikia.

Angeamua kuto kuanzisha label tusinge mjua na Diamond ni mfanyabiashara, always ana angalia faida na label zote duniani zina angalia faida, hata yy na JembeniJembe wanaangalia faida.

Yeye mwenyewe kuimba aliambiwa hajui, Diamond kakaa nae zaidi ya miaka mitatu, akimfundisha na kumpika kimuziki na kuna watu walimwambia hajui kuimba ila Mondi hakukata nae tamaa, kula,kuvaa na kulala kwa Diamond.

Anadai WCB walikuwa wana muogopa yy, haya leo zaidi ya miaka miwili nje ya WCB, yupo yy peke yake,free habanwi je kafika wapi,kampita Diamond?Anapata airtime ktk media zote kubwa zilizo kuwa hazipigi nyimbo zake.

Halafu haja tuambia wasanii wake wanapata kiasi gani, mikataba yao miaka mingapi,wana miaka miwili hawa heleweki wanafanya nini.
 
Kinawachonyotaa mlitaka afulie kama Mavoko nyie chawa wa WCB mnaumwa na maboss wenu ..!!dogo hajafika hukoo ila anajikongoja mdogo mdogo habari hapati!

Mmakonde wa Chitoholi,Tandahimbaaaa..Ntwaaara 1 hyooo!!
Nawaambia mtasanda tuu!!mumuache baba Zuu!
Kama Kigoma kuna Ziwa Tanganyika sasa Mtwara kuna Bahari ya Hindi..Kote kuna maji...[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]ukisogea Msumbiji..Kigoma ukisogea Congo...

Kama Mondi anajua kuroga kwa mbele basi Harmo ataroga kwa nyuma![emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1]Vinaumanaa tyuuu!!!
Wanaumia kwa lipi wewe compare number zake tokea yupo Wasafi na leo hii, compare streams alizokuwa akizipata tokea Wasafi, alivyokuja kutoa album yake ya kwanza na leo hii ana ya pili cheki number zitakupa majibu.
 
Mashabiki maandazi wamejua mitandao juzi tu hapa...na alimtia na mimba juu!akaenda kutoa mama Dai[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]!!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]umepasua yai mi nilikua nasubiri mtu aanze!
Diamond sema ana kismati mavi yake hayanuki ya wengineo shuzii kuubwaa!
Nashukuru kaka wolf umemaliza mi ngoja nende zangu kulala hapa!!!
known junk, cleaner, akija na macheni ya milioni 700 hayaonekani tena akiyavaa
 
Unaijua hii move alioifanya harmonize inamvusha wapi?na side effects ni zipi kwa huyo bwana ako?yeye ameshawahi kutoka mara ngapi kwenye ma camera kulia lia? Hapa harmonize ka set record straight! Ali mbully ommy dimpoz kuwa anafirw@ mpaka ommy akaweka wazi kuwa kamshamtomba mama yake jamaa, that was a hell of a defeat, na kuanzia hapo akamkoma dimpoz, tulieni na huyo junk wenu anayofanyia wenzake ni makubwa
Acha kuongea kwa mihemko bro, harmonaize ni product ya diamond hilo liko wazi na kama aliamua kutoka kwenda kujitemea ni Jambo nzuri tu maana yake anajikomboa. Mziki ni vita kubwa sio kipaji tu ndio maana leo mwamba analia kufanyiwa fitina.

Ommy dimpozi simpi credit amekaa kama demu hana muonekabo wa kiume( musculinity) anaweza kuwa anafirwa ila harmonaize Muoga mtu anaetafta sympathy namdharua sio askiri kwenye medani za vita
 
Harmonize ameyatoa ya moyoni ya muda mrefu mno. Amesema ukweli maana wanaendelea kumuandana na chawa wa Diamond anaowalipa kwa KAZI hiyo. Diamond ana wivu hataki mtu ampite au kufanikiwa. Kwa kuangalia tu usoni ana roho mbaya mno.

Sasa Harmonize amefanikiwa. Hao WCB si walisema atakufa kimziki? Mbona hajafa. Tena kwa elimu yake Darasa la 7 amepambana mpaka lugha ya malkia. Na akiendelea hivi miaka 3 ijayo atakuwa na English safi sana.
Yaani watanzania tujifunze kuwa na appreciation. Yaani ni kuongea negative tu.

So far tulitakiwa tumsifu Harmonize yuko nje ya WCB lakini yuko vizuri na ninaamini atakuwa vizuri zaidi
Bravo.
 
Wengi wenu mliokoment humu hamjamsikiliza mmakonde,, kwenye hiyo interview/press sijui hata niiteje, mana imechukua takribani lisaa limoja, na kwa changamoto ya bando kwa sasa na jua hili lililoshuka mpaka juu ya bati wengi humu mmesoma tu uzi na kukoment, hebu msikilizeni mmakonde kwanza kwisha mrudi kukoment,, sio shabiki wa diamond wala mmakonde isipokuwa, mnyonge mnyongeni... haki yake mpeni

Kaka BIASHARA na huruma ni vitu viwili TOFAUTI.
Hebu pata picha umengekua ni wewe?
Umemtengeneza mtu, grom zero to hero, Ume wekeza fedha nyingi kwake ,
Kisha aamue kuondoka ukubali tu nenda!

Anakuja mtu mwingine una mtengeneza anaiva anaondoka, anakuja mwingine na mwingine je utakua wap!?

Kazin kwangu nme sign mkataba nlipewa muda wakuusoma nkakubali nka sign.

Nimeambiwa nkitaka kuvunja ntalipa 3times 1 ya mshahara wangu! Na wao wakitaka kuvunja kuna hela watalipa
Siku nikivunja ntatakiwa kwenda sehemu kulalamika?
 
Acha kuongea kwa mihemko bro, harmonaize ni product ya diamond hilo liko wazi na kama aliamua kutoka kwenda kujitemea ni Jambo nzuri tu maana yake anajikomboa. Mziki ni vita kubwa sio kipaji tu ndio maana leo mwamba analia kufanyiwa fitina. Ommy dimpozi simpi credit amekaa kama demu hana muonekabo wa kiume( musculinity) anaweza kuwa anafirwa ila harmonaize Muoga mtu anaetafta sympathy namdharua sio askiri kwenye medani za vita
Mdogo wangu mimi ninaongea kitu ambacho nina ufahamu nacho, sasa kama mziki ni vita jamaa karusha kombora limewapata ugulieni kimya kimya, wasubirie mengine yanakuja mpaka tumalize huu mwaka huyo junk wenu anaweza kuwa korokoroni

Unamyonya mtu kisha unamchuna 600M, that's hard young bro..
 
Back
Top Bottom