Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Kinawauma kipi?
Kinawachonyotaa mlitaka afulie kama Mavoko nyie chawa wa WCB mnaumwa na maboss wenu ..!!dogo hajafika hukoo ila anajikongoja mdogo mdogo habari hapati!

Mmakonde wa Chitoholi,Tandahimbaaaa..Ntwaaara 1 hyooo!!
Nawaambia mtasanda tuu!!mumuache baba Zuu!
Kama Kigoma kuna Ziwa Tanganyika sasa Mtwara kuna Bahari ya Hindi..Kote kuna maji...[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]ukisogea Msumbiji..Kigoma ukisogea Congo...

Kama Mondi anajua kuroga kwa mbele basi Harmo ataroga kwa nyuma![emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1]Vinaumanaa tyuuu!!!
 
[emoji1][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]nyie waha ubishi kawaida yenu siwawezi Mimi!alijiharibia Diamond kudhalilisha wanawake na bado anapata madili 24/7...!!!
MPE tu Credit ndugu yako ila haipingiki kua ana roho mbayaaa...

Mmakonde kabinya kendee!![emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vimeumana tu mjini hukoo!
 
Mi sijasikiliza kitu niliandika kwa kusoma hapo juu.
 
Kwa hiyo mtu yeyote anayekwenda kinyume na mwenendo wa tajiri ubongo wako unatafsiri kua mtu huyo amesanda?
Inategemea unaenda vipi kinyume, hata Mungu hachukui vilivyo vinyonge ndio maana harmonaize ana hamu kuupindua ufalme wa diamond atambe akitwangwa misumari anapiga mayowe kumwaga machozi , hii ni dunia ya ubepari mwenye nguvu ndio anatawala mnyonge anapisha njia
 
Unaijua hii move alioifanya harmonize inamvusha wapi?na side effects ni zipi kwa huyo bwana ako?yeye ameshawahi kutoka mara ngapi kwenye ma camera kulia lia? Hapa harmonize ka set record straight!

Ali mbully ommy dimpoz kuwa anafirw@ mpaka ommy akaweka wazi kuwa kamshamtomba mama yake jamaa, that was a hell of a defeat, na kuanzia hapo akamkoma dimpoz, tulieni na huyo junk wenu anayofanyia wenzake ni makubwa
 
Wengi wenu mliokoment humu hamjamsikiliza mmakonde, kwenye hiyo interview/press sijui hata niiteje, mana imechukua takribani lisaa limoja, na kwa changamoto ya bando kwa sasa na jua hili lililoshuka mpaka juu ya bati wengi humu mmesoma tu uzi na kukoment, hebu msikilizeni mmakonde kwanza kwisha mrudi kukoment, sio shabiki wa diamond wala mmakonde isipokuwa, mnyonge mnyongeni.

haki yake mpeni
 
Mungu wa dini gani huyo anayefata meza yenye bia nyingi?
 
Mashabiki maandazi wamejua mitandao juzi tu hapa...na alimtia na mimba juu!akaenda kutoa mama Dai[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]!!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]umepasua yai mi nilikua nasubiri mtu aanze!
Diamond sema ana kismati mavi yake hayanuki ya wengineo shuzii kuubwaa!
Nashukuru kaka wolf umemaliza mi ngoja nende zangu kulala hapa!!!
 
Kwenye vita hakuna usalia mtume, diamond sio malaika, anachosema harmonaize ndio ukweli huo sijabisha ila point yangu ipo clear harmonaize ame surrender vita mpaka kijitokeza mbele ya macamera kumwaga upupu ili ahurumiwe.

Apambane kiaskari au amezidiwa mbinu za medani
 
Armonize Anapoimba vizuri sasa hivi ni nani amemsaidia? Diamond ni mshenzi Tu.
 
Wanaumia kwa lipi wewe compare number zake tokea yupo Wasafi na leo hii, compare streams alizokuwa akizipata tokea Wasafi, alivyokuja kutoa album yake ya kwanza na leo hii ana ya pili cheki number zitakupa majibu.
 
known junk, cleaner, akija na macheni ya milioni 700 hayaonekani tena akiyavaa
 
Acha kuongea kwa mihemko bro, harmonaize ni product ya diamond hilo liko wazi na kama aliamua kutoka kwenda kujitemea ni Jambo nzuri tu maana yake anajikomboa. Mziki ni vita kubwa sio kipaji tu ndio maana leo mwamba analia kufanyiwa fitina.

Ommy dimpozi simpi credit amekaa kama demu hana muonekabo wa kiume( musculinity) anaweza kuwa anafirwa ila harmonaize Muoga mtu anaetafta sympathy namdharua sio askiri kwenye medani za vita
 
Harmonize ameyatoa ya moyoni ya muda mrefu mno. Amesema ukweli maana wanaendelea kumuandana na chawa wa Diamond anaowalipa kwa KAZI hiyo. Diamond ana wivu hataki mtu ampite au kufanikiwa. Kwa kuangalia tu usoni ana roho mbaya mno.

Sasa Harmonize amefanikiwa. Hao WCB si walisema atakufa kimziki? Mbona hajafa. Tena kwa elimu yake Darasa la 7 amepambana mpaka lugha ya malkia. Na akiendelea hivi miaka 3 ijayo atakuwa na English safi sana.
Yaani watanzania tujifunze kuwa na appreciation. Yaani ni kuongea negative tu.

So far tulitakiwa tumsifu Harmonize yuko nje ya WCB lakini yuko vizuri na ninaamini atakuwa vizuri zaidi
Bravo.
 

Kaka BIASHARA na huruma ni vitu viwili TOFAUTI.
Hebu pata picha umengekua ni wewe?
Umemtengeneza mtu, grom zero to hero, Ume wekeza fedha nyingi kwake ,
Kisha aamue kuondoka ukubali tu nenda!

Anakuja mtu mwingine una mtengeneza anaiva anaondoka, anakuja mwingine na mwingine je utakua wap!?

Kazin kwangu nme sign mkataba nlipewa muda wakuusoma nkakubali nka sign.

Nimeambiwa nkitaka kuvunja ntalipa 3times 1 ya mshahara wangu! Na wao wakitaka kuvunja kuna hela watalipa
Siku nikivunja ntatakiwa kwenda sehemu kulalamika?
 
Mdogo wangu mimi ninaongea kitu ambacho nina ufahamu nacho, sasa kama mziki ni vita jamaa karusha kombora limewapata ugulieni kimya kimya, wasubirie mengine yanakuja mpaka tumalize huu mwaka huyo junk wenu anaweza kuwa korokoroni

Unamyonya mtu kisha unamchuna 600M, that's hard young bro..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…